Duniahadaa
JF-Expert Member
- Oct 16, 2017
- 336
- 677
Nafikiri mtapewa nafasi ya kwenda rekebisha.Kuna mtu kampuni yetu imemshtaki. Sasa badala ya sisi kuandika NAMANGA INSURANCE AGENCY CO. LTD, ilikosewa, aliye draft akaacha AGENCY, ikawa NAMANGA INSURANCE CO. LTD. Sasa upande wa pili wameweka pingamizi kesi itupwe kwa sababau wanasema Kampuni haijasajiliwa kwa hiyo sio legal person na hivyo haiwezi kushtaki.
Swali je kesi itatupwa au tutaaambiwa tukarekebishe?
Nice comment ever. It's nonsensical question in toto. Mwanasheria/ wakili mzuri kabla ya kuuliza lazima ufanye utafiti binafsi kwanza siyo kuuliza vitu ambavyo ni very hata mwanafunzi wa sheria wa mwaka kwanza anavijua.Yani mnadhalilisha taaluma ya sheria...
Mnajua kua mliapa kuUPHOLD THE INTEGRITY OF LEGAL PROFESSION??
Unauliza nonsense like seriously?
Unaonekana hata mastery of CPC ni tatizo...vp mastery of evidence rules utaweza kweli?
Dah inasikitisha sana ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umejuaje huyo mleta mada ni mwanasheria..Nice comment ever. It's nonsensical question in toto. Mwanasheria/ wakili mzuri kabla ya kuuliza lazima ufanye utafiti binafsi kwanza siyo kuuliza vitu ambavyo ni very hata mwanafunzi wa sheria wa mwaka kwanza anavijua.
Maneno aliyotumia mkuu ndiyo yamesababisha. ni mwanasheria ila butu yani nina uhakika mkubwa sana kuwa atakuwa ni legal officer wa kampuni hiyo.
Tumia common-sense approach hapo kujua kua ni mwanasheria ama lah!
Thanks mkuu.Nice comment ever. It's nonsensical question in toto. Mwanasheria/ wakili mzuri kabla ya kuuliza lazima ufanye utafiti binafsi kwanza siyo kuuliza vitu ambavyo ni very hata mwanafunzi wa sheria wa mwaka kwanza anavijua.
Strike out and an option to refile subject to time limitationKuna mtu kampuni yetu imemshtaki. Sasa badala ya sisi kuandika NAMANGA INSURANCE AGENCY CO. LTD, ilikosewa, aliye draft akaacha AGENCY, ikawa NAMANGA INSURANCE CO. LTD. Sasa upande wa pili wameweka pingamizi kesi itupwe kwa sababau wanasema Kampuni haijasajiliwa kwa hiyo sio legal person na hivyo haiwezi kushtaki.
Swali je kesi itatupwa au tutaaambiwa tukarekebishe?
Strike out and an option to refile subject to time limitation
SIJAKUELEWA, NIELEWESHE.. WRITTEN STATEMENT OF DEFENSE? HII NAIJUA SIJUI ULIKUWA NA MAANA GANI!Mmhh. Mkuu unajua kua hiyo ni wsd!?
Mkuu kwahiyo maelezo yako yanamaanisha kesi itasimama au itatupwaYani mnadhalilisha taaluma ya sheria...
Mnajua kua mliapa kuUPHOLD THE INTEGRITY OF LEGAL PROFESSION??
Unauliza nonsense like seriously?
Unaonekana hata mastery of CPC ni tatizo...vp mastery of evidence rules utaweza kweli?
Dah inasikitisha sana ...
Sent using Jamii Forums mobile app
SIJAKUELEWA, NIELEWESHE.. WRITTEN STATEMENT OF DEFENSE? HII NAIJUA SIJUI ULIKUWA NA MAANA GANI!
Ulishaona wapi kifo cha Imamu kina kinakwamisha ibada?Mkuu kwahiyo maelezo yako yanamaanisha kesi itasimama au itatupwa
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, advocates wanakosea sana wakiwa na muda mchache, haya mambo muda mwingine yanakuwa ya copy and paste from templates, anashindwa ku edit hiyo C&P! au anampa mwanafunzi/fresh from law school anashindwa ke edit kabla ya ku submit. Michael, kuna mwanasheria nguli sana alifanya makosa kama hayo hayo!Tumia common-sense approach hapo kujua kua ni mwanasheria ama lah!
Infact, kama huyo sio mwanasheria basi ni bosi wa huyo mwanasheria aliyedraft!
All in all kuna vilaza wengi sana kwenye fani ya sheria....
Yanii
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana, advocates wanakosea sana wakiwa na muda mchache, haya mambo muda mwingine yanakuwa ya copy and paste from templates, anashindwa ku edit hiyo C&P! au anampa mwanafunzi/fresh from law school anashindwa ke edit kabla ya ku submit. Michael, kuna mwanasheria nguli sana alifanya makosa kama hayo hayo!
Ebu soma original post: penye redHapana, advocates wanakosea sana wakiwa na muda mchache, haya mambo muda mwingine yanakuwa ya copy and paste from templates, anashindwa ku edit hiyo C&P! au anampa mwanafunzi/fresh from law school anashindwa ke edit kabla ya ku submit. Michael, kuna mwanasheria nguli sana alifanya makosa kama hayo hayo!
Kama una kazi za nyingi zinazoingilia competence yako then dont take no more?Hapana, advocates wanakosea sana wakiwa na muda mchache, haya mambo muda mwingine yanakuwa ya copy and paste from templates, anashindwa ku edit hiyo C&P! au anampa mwanafunzi/fresh from law school anashindwa ke edit kabla ya ku submit. Michael, kuna mwanasheria nguli sana alifanya makosa kama hayo hayo!
Take no more? atakula kwako? unakuwa kama hujui kutafuta hela? Advocate hakatai kesi labda kama ya "wizi wa kuku", lkn kesi kutoka kampuni ambayo itamlipa vizuri ataichukua na kuvurunda za hela ndogo.. I am talking from experience!Kama una kazi za nyingi zinazoingilia competence yako then dont take no more?
Then mimi ishu hapa sio kusema kakosea ama lah! Mana typin error zipo kila mara ishu hapa ni kuuliza kua sijui kesi itafutwa ama blah blah etc
Clearly, inaonesha mastery ya civil procedure ya huyo jamaa ni tatizo...
Sasa kama wakili unashindwa kumaster civil procedure...
vp kuhusu procedures ambazo ni complex kama criminal or even technical ones kama evidence rules?
Atafanya vp litigation huyo??
Ataweza vp kufanya suppression motions na motions in limine?
Zaidi si atakua kila day analitigate frivolous, baseless, groundless cases wakati angeweza kuzimaliza mapema kwa suppression hearings??
Supportin the development of the Law ni moja kati ya wajibu mkubwa sana kwa wakili...
INCOMPETINCIES, legal malpractice undermine the development of the law.
Sent using Jamii Forums mobile app
Then ndo mana tuna mabush lawyers wengi mana njaa tupu...Take no more? atakula kwako? unakuwa kama hujui kutafuta hela? Advocate hakatai kesi labda kama ya "wizi wa kuku", lkn kesi kutoka kampuni ambayo itamlipa vizuri ataichukua na kuvurunda za hela ndogo.. I am talking from experience!
Sasa anakuja kumuuliza nani huki wakati aliweka advocate wa kudraft?Ebu soma original post: penye red
Kuna mtu kampuni yetu imemshtaki. Sasa badala ya sisi (applicant) kuandika NAMANGA INSURANCE AGENCY CO. LTD, ilikosewa, aliye draft akaacha AGENCY, ikawa NAMANGA INSURANCE CO. LTD. Sasa upande wa pili wameweka pingamizi kesi itupwe kwa sababau wanasema Kampuni haijasajiliwa kwa hiyo sio legal person na hivyo haiwezi kushtaki.
waliokosea ni applicants... defendant akaweka PO, .... basi applicant ana nafasi ya kufanya kama nilivyoandika......