Stanley Mitchell
JF-Expert Member
- Jan 2, 2014
- 4,574
- 4,070
Hajaelewa mada ila aliamua kuchangia anywayUmesema ata file subject to time limitation. Hii company imeshtakiwa... wakati wamefile defense wamekosea jina.. wamepigwa po. Jibu lako umesema itaondolewa lakina watakua na uwezo wa kufile “subject to time limitation” ... unamaanisha nini!? Au sijakuelewa.
Hayo ya trust ni yako, mteja atajuaje wakili mwaminifu? Tena unaweza ukakuta kuwa siyo bush lawyer, ni wakili , lkn ndiyo hivyo. Kuna mawakili humu JF unaona argument zao unajua kuwa kuna majanga hapa! Unaona clerical/typo errors, umeandika attroney ... haya ya kawaida! all in all mjibu swali lake.Sasa anakuja kumuuliza nani huki wakati aliweka advocate wa kudraft?
Ina mana anaeeka advocate alafu hamuamini??
Yani bush lawyers bana unaingia service agreement na mtu bila kuestablish Trust katk Attroney-Client relationship???..?.???????????
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mbona unaaibisha profession kwa arguments zako ambazo hazipo lawyerly!Hayo ya trust ni yako, mteja atajuaje wakili mwaminifu? Tena unaweza ukakuta kuwa siyo bush lawyer, ni wakili , lkn ndiyo hivyo. Kuna mawakili humu JF unaona argument zao unajua kuwa kuna majanga hapa! Unaona clerical/typo errors, umeandika attroney ... haya ya kawaida! all in all mjibu swali lake.
Michael una theory nyingi kwenye kichwa chako! Nadhani we ni mgeni kwenye uwaja. Ukija kwenye real world situation mambo ni tofauti. Mteja analetwa kwako na mtu anayekufahamu! Si rahisi mteja kwenda kwa wakili bila ya mtu wa kuku introduce. trust ndiyo hiyo based on somebody!.Baada ya hapo...... unachokifanya unakijua wewe! Naona bado una good memory mambo ya darasani suppression.. limine! kutoka chuoni!Mkuu mbona unaaibisha profession kwa arguments zako ambazo hazipo lawyerly!
Wakili una jukumu la kuestablish TRUST followed by ATTORNEY-CLIENT RELATIONSHIP kabla ya kuchukua hela au kumsainisha client SERVICE AGREEMENT...
Your client needs to trust you first before taking his case....
if not, how in the world will you be able to litigate successfully the case ambayo the client doesnt even trust you?
Unawezaje kupata material facts necessary to litigate kama mteja hakuamini eneough to tell you his story?
Aisee ...is that what they tought in Law school??
Sent using Jamii Forums mobile app
nadhani hujaelewa pia, kampuni ilishitaki, haikushitakiwa! Anyway kwaheri!
Siku utayopata legal malpractice ndo utajua kua ngoma ni wewe na mteja na uyo aliyemleta kaingia mitini.m
Michael una theory nyingi kwenye kichwa chako! Nadhani we ni mgeni kwenye uwaja. Ukija kwenye real world situation mambo ni tofauti. Mteja analetwa kwako na mtu anayekufahamu! Si rahisi mteja kwenda kwa wakili bila ya mtu wa kuku introduce. trust ndiyo hiyo based on somebody!.Baada ya hapo...... unachokifanya unakijua wewe! Naona bado una good memory mambo ya darasani suppression.. limine! kutoka chuoni!
It doesnt matter...ila point takennadhani hujaelewa pia, kampuni ilishitaki, haikushitakiwa! Anyway kwaheri!
Nenda kaombe kufanya amendment tu, it is a minor clerical errorKuna mtu kampuni yetu imemshtaki. Sasa badala ya sisi kuandika NAMANGA INSURANCE AGENCY CO. LTD, ilikosewa, aliye draft akaacha AGENCY, ikawa NAMANGA INSURANCE CO. LTD. Sasa upande wa pili wameweka pingamizi kesi itupwe kwa sababau wanasema Kampuni haijasajiliwa kwa hiyo sio legal person na hivyo haiwezi kushtaki.
Swali je kesi itatupwa au tutaaambiwa tukarekebishe?
Hiyo ni dosari inayoweza rekebishika yaani curable defect, mnachopaswa kufanya pelekeni maombi ya kuomba kurekebisha kwa mujibu wa kifungu cha 96 cha sheria ya mwenendo wa makosa ya madai, dosari ama makosa yatokanayo na uandishi, uchapaji, kukosea namba ama ufasaha wa maana yanarekebishika na hilo linaangukia katika msingi huo wa kisheria...Kuna mtu kampuni yetu imemshtaki. Sasa badala ya sisi kuandika NAMANGA INSURANCE AGENCY CO. LTD, ilikosewa, aliye draft akaacha AGENCY, ikawa NAMANGA INSURANCE CO. LTD. Sasa upande wa pili wameweka pingamizi kesi itupwe kwa sababau wanasema Kampuni haijasajiliwa kwa hiyo sio legal person na hivyo haiwezi kushtaki.
Swali je kesi itatupwa au tutaaambiwa tukarekebishe?
At the end of the day, what is the legacy of it?Take no more? atakula kwako? unakuwa kama hujui kutafuta hela? Advocate hakatai kesi labda kama ya "wizi wa kuku", lkn kesi kutoka kampuni ambayo itamlipa vizuri ataichukua na kuvurunda za hela ndogo.. I am talking from experience!
Mzee una tambo mingi sana.Siku utayopata legal malpractice ndo utajua kua ngoma ni wewe na mteja na uyo aliyemleta kaingia mitini.
"Trust based on somebody" ndo utajitetea hivo kwenye tort ya legal malpractice?
Huoni kama wewe afisa wa mahakama utakua unethical kwa kujaribu kuintroduce hearsay evidence?
Au una uhakika iyo " trust based on somebody" imekidhi exceptions za hearsay??
Ishu sio kua ni mgeni au nina theory nyngi ishu ni kufanya kazi kwa mazoea na janja janja nyingi...why cant u be professional? Njaa njaa za nini wajameni?
Sent using Jamii Forums mobile app
Yah naturally pompous especially wen i firmly believe in what I belive!Mzee una tambo mingi sana.
Too pompous.
Lakini unazungumza ukweli.
Sent using Jamii Forums mobile app
Bila shaka legal draft ili kudaka pale mjengoni.Yah naturally pompous especially wen i firmly believe in what I belive!
Good news is....nazungumza ukweli...mengine nakua naexcercise my rights as a human of makin my share of mistakes in this world before I die
Sent using Jamii Forums mobile app
Legal draft? What's that?Bila shaka legal draft ili kudaka pale mjengoni.
Ulivyo kilaza makosa yako huyaoni!!Legal draft? What's that?
Bush Lawyer at Work!
It's legal drafting, MF!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukionionesha kosa langu moja ndo nitaona otherwise uwezo wako tu wa kushindwa kuandika somo lililokusumbua nimeshajua ww ni mtu wa aina gani.Ulivyo kilaza makosa yako huyaoni!!
Kijana utanisamehe, mimi siyo mwanasheria ila kwa namna unavyoongea unadhihirisha umetoka chuo juzi juzi bado una theories nyingi kichwani, hujaingia kwenye real world ukajionea.Siku utayopata legal malpractice ndo utajua kua ngoma ni wewe na mteja na uyo aliyemleta kaingia mitini.
"Trust based on somebody" ndo utajitetea hivo kwenye tort ya legal malpractice?
Huoni kama wewe afisa wa mahakama utakua unethical kwa kujaribu kuintroduce hearsay evidence?
Au una uhakika iyo " trust based on somebody" imekidhi exceptions za hearsay??
Ishu sio kua ni mgeni au nina theory nyngi ishu ni kufanya kazi kwa mazoea na janja janja nyingi...why cant u be professional? Njaa njaa za nini wajameni?
Sent using Jamii Forums mobile app