GE2025 Je, kulikuwa na dharura halisi kufanyika kikao cha mtandao?

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

MTAZANIA

Member
Joined
May 28, 2025
Posts
28
Reaction score
47
Ninapoangalia mwenendo wa sasa ndani ya chama chetu, nahisi kuna upungufu mkubwa wa viongozi wenye maono. Kiongozi sahihi anapaswa kuwa na "jicho la tatu" – yaani uwezo wa kuona changamoto kabla hazijatokea, na kuchukua hatua stahiki kwa wakati.

Leo hii tuko ndani ya mchakato nyeti wa uchaguzi wa wagombea. Ni wakati wa kutathmini kwa makini misingi yetu, lakini badala yake tunashuhudia ghafla mabadiliko ya katiba ya chama kupitia kikao cha dharura cha mtandao. Hili ni jambo zito, linalopaswa kuandaliwa kwa umakini mkubwa na kwenye msingi wa maoni ya wanachama – siyo kwa pupa.

Kwa maoni yangu, hoja ya kuongeza idadi ya wagombea ni visingizio vinavyofunika mambo ya msingi zaidi. Badala ya kuliona kama changamoto inayoweza kushughulikiwa kwa utaratibu wa kawaida, limegeuzwa kuwa kisingizio cha kufanya marekebisho ya haraka ya katiba.

Hali hii inaleta hofu kuu mbili:

1. Kuongeza mianya ya rushwa – Kadri wagombea wanavyozidi, ndivyo kunavyoongezeka mashinikizo ya kifedha na mbinu zisizo za kimaadili.

2. Kupunguza mamlaka ya vikao vingine vya chama – Kuna kila dalili kwamba kikao hiki kimetumika kama mwamvuli wa kuhalalisha maamuzi ambayo tayari yalifanyika kinyume na katiba.

UShauri wangu mdg wa mama asiwasikilize kabisa maana wanampoteza

Kwa kifupi, kinachoonekana hapa si marekebisho kwa ajili ya maendeleo, bali ni marekebisho ya kujihalalishia makosa ya kimfumo. Hii siyo njia ya kujenga chama, bali ni njia ya kukivuruga.

Ni wajibu wa kila mwanachama mwenye uchungu na chama chetu kuhoji, kutafakari na kusimama kwa ajili ya misingi ya haki, ut
aratibu na uwazi.
 
Maamuzi ya chama sio ya mtu mmoja ni vikao....kama Kuna kasoro walioiona ni bora walaumiwe kwa kurekebisha kasoro kuliko kulaumiwa kwa matokeo yatakayotokana na kasoro hiyo.
 
Ninapoangalia mwenendo wa sasa ndani ya chama chetu, nahisi kuna upungufu mkubwa wa viongozi wenye maono. Kiongozi sahihi anapaswa kuwa na "jicho la tatu" – yaani uwezo wa kuona changamoto kabla hazijatokea, na kuchukua hatua stahiki kwa wakati.

Leo hii tuko ndani ya mchakato nyeti wa uchaguzi wa wagombea. Ni wakati wa kutathmini kwa makini misingi yetu, lakini badala yake tunashuhudia ghafla mabadiliko ya katiba ya chama kupitia kikao cha dharura cha mtandao. Hili ni jambo zito, linalopaswa kuandaliwa kwa umakini mkubwa na kwenye msingi wa maoni ya wanachama – siyo kwa pupa.

Kwa maoni yangu, hoja ya kuongeza idadi ya wagombea ni visingizio vinavyofunika mambo ya msingi zaidi. Badala ya kuliona kama changamoto inayoweza kushughulikiwa kwa utaratibu wa kawaida, limegeuzwa kuwa kisingizio cha kufanya marekebisho ya haraka ya katiba.

Hali hii inaleta hofu kuu mbili:

1. Kuongeza mianya ya rushwa – Kadri wagombea wanavyozidi, ndivyo kunavyoongezeka mashinikizo ya kifedha na mbinu zisizo za kimaadili.

2. Kupunguza mamlaka ya vikao vingine vya chama – Kuna kila dalili kwamba kikao hiki kimetumika kama mwamvuli wa kuhalalisha maamuzi ambayo tayari yalifanyika kinyume na katiba.

UShauri wangu mdg wa mama asiwasikilize kabisa maana wanampoteza

Kwa kifupi, kinachoonekana hapa si marekebisho kwa ajili ya maendeleo, bali ni marekebisho ya kujihalalishia makosa ya kimfumo. Hii siyo njia ya kujenga chama, bali ni njia ya kukivuruga.

Ni wajibu wa kila mwanachama mwenye uchungu na chama chetu kuhoji, kutafakari na kusimama kwa ajili ya misingi ya haki, ut
aratibu na uwazi.
Hauko sawa!!
Chama kimetafakari na kurudisha mamlaka zaidi kwa wanachama/ Wajumbe kuchagua viongozi wao kupitia kura za maoni.
Ebu fikiria watu 40 wamejitikeza kuomba UBUNGE Jimbo fulani halafu watu wachache kwa jina la Kamati ya siasa au Kamati Kuu wanawaondoa watu 37 na kubakiza wa 3, HAPANA!!
Acha ata ikiwezekana wote wapigiwe kura na Wajumbe ili mtu sahihi aonekane pale.
 
Back
Top Bottom