Je, kulikuwa na haja ya serikali kutumia nguvu kubwa kupambana na Chadema?

Je, kulikuwa na haja ya serikali kutumia nguvu kubwa kupambana na Chadema?

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Haya maandamano ya tar 23 yatayofanywa na Chadema yatakuwa na impact kubwa kiasi cha kuogofya serikali?.
1000037972.jpg
 
Huu ni mtego wa wahafidhina kwa Rais naye kaingia mzima mzima. Wenyewe wanachekea tumboni jinsi anavyojikaanga. Damu zitakazomwagwa na polisi Jumatatu ndiyo kaburi la CCM.
 
Hakuna haja ya kutumia nguvu maana ni maandamano ya amani lakini Kwa kuwa nchi inaongozwa na majinga wameona suluhisho ni kutumia majeshi
 
Back
Top Bottom