Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
- Thread starter
-
- #61
Wimbo ulitungwa miaka ya 1800, nyie mlishiriki wapi?Tulishiriki Idea ya wimbo wao wakatunga mashairi na kuimba.
Uhuru wa S.Afrika tumehusika pakubwa.
By the way waasisi Nia Yao Hasa wimbo Ule uje kuwa wimbo wa Africa nzima maana tulidhamiria kuanzisha Dola moja ya Afrika.
wewe kijana umezaliwa mwaka jana nini?Huenda ni uvivu tulionao ndio unasababisha umasikini wetu na tumebaki kutafuta visingizio visivyo na idadi.
Swala nyeti kama wimbo wa taifa, ambao ndio kitambulisho chetu, iweje tuukwapue wimbo wa Afrika Kusini na kuufanya wetu?
Je kwanini hatukuufanya wimbo wa Tazama ramani utaona nchi nzuri, uwe wimbo wa taifa letu?
Nadhani sasa ni wakati wa kurudi kwenye asili yetu, tutunge wimbo wetu wenyewe au tuufanye wimbo wa TAZAMA RAMANI uwe ndio wimbo wa taifa.
Sijaona HOJA ya kutafuta wimbo mwingine Kwa kigezo kuwa alotunga alikuwa msauzi.Wimbo ulitungwa miaka ya 1800, nyie mlishiriki wapi?
EEEE? ZAIDI YA ZA SENSA ETI 😀Tazama ramani mrefu kinoma, ni kheri tuache hivyo hivyo maana hizo kamati sijui wanakway wa kutunga, kuhariri na kupata wimbo wa taifa watakula pesa zaidi ya pesa ya sensa. Mkuu Bujibuji Simba Nyamaume waambie waache tu hasara ni kubwa kuliko faida.
Kajisomee japo kidogo uitafute uipate historia ya Republic of South Africa (RSA), badala ya kung'ang'ania vya kulishwa tu.Il
Naomba huo uhalisia, mimi elimu yangu inaniambia nchi huru ya Africa kusini ilianzishwa miaka ya 90 ,kabla ya hapo South ilikuwa na Rais mkaburu aliitwa Botha
Ndugu yangu kajisomee basii na wewe ufanye uchambuzi 'tondotiKwani TANZANIA na South Afrika, ipi Hasa ilianza kupata Uhuru???
Tuanzie hapo .
Hapana.Pia kuna mwingine tulikuwa tunaimba shule ya msingi, huu ni wa kuisifia zaidi unaimbwa hivi;
"Tanzania Tanzania, nchi yenye mali nyingi... Watu wengi wa ulayaaaa wanaililia sana, niliona ndege wengi...chini wametia fora...walinipendeza mlio kama mtoto wa nyumbani...Ngooorongoro ile ngoorongoro ile ngoorongoro ileee ngoorongoro ileee.."
Sijui ndo hivi
Mbona hafanani kwa njia yoyote na ile takataka nyingine inayofaidika na matunda ya akili yake?Mtunzi ni huyu hapa
View attachment 2379619
Mimi ninasikitika tu kujuwa mtunzi wa wimbo huo kuwa na mbegu mbovu iliyopo sasa, tofauti kabisa na wimbo wake.Tazama ramani ni bonge la wimbo! Na una sifa zote za kuwa wimbo wa Taifa la Tanganyika! Sema tu unatakiwa pia kufanyiwa maboresho kwenye mashairi yake! Kusiwepo mstari wowote ule wa kutaja majina ya viongozi! Sijui Nyerere, sijui Karume!!
Tena kama huyo Karume ndiyo hatakiwi kabisa kutajwa! Maana tayari Zanzibar wana wimbo wao wa Taifa.
Kiukweli hui wimbo wa sasa hauna mvuto! Eti Mungu ibariki Afrika! For what!! Wimbo wa Taifa uiongelee Tanzania tu na watu wake.
Aibu nyingine hiii jamaniHata jina Tanzania likitungwa na mhindi, akaweka hadi jina lake na jina la jumuiya yake ya Ahmadiya
Kwa hiyo we kwa akili yako unadhani tukibalisha wimbo ndo Mungu atasikia na kujibu maombi yetu? What a hectic! Wimbo wa Taifa sio km bongo fleva kwamba baada ya mda fulani unatoa remix.Unaendeshwa na roho za mapepo wachafu wewe. Kwa hiyo tuutumie wimbo mtumba, huoni huo ni umasikini kabisa wa fikra?
Kwani kuna tatizo? Tumekopa mambo mangapi kutoka kwa wenzetu?Huenda ni uvivu tulionao ndio unasababisha umasikini wetu na tumebaki kutafuta visingizio visivyo na idadi.
Suala nyeti kama wimbo wa taifa, ambao ndio kitambulisho chetu, iweje tuukwapue wimbo wa Afrika Kusini na kuufanya wetu?
Je, kwanini hatukuufanya wimbo wa Tazama ramani utaona nchi nzuri, uwe wimbo wa taifa letu?
Nadhani sasa ni wakati wa kurudi kwenye asili yetu, tutunge wimbo wetu wenyewe au tuufanye wimbo wa TAZAMA RAMANI uwe ndio wimbo wa taifa.
Nyie mnakopesha nini? Nani anakopa kwenuKwani kuna tatizo? Tumekopa mambo mangapi kutoka kwa wenzetu?
Haha hahah kumbe wimbo wa taifa ni dua? Nani alikuwambia?Kwa hiyo we kwa akili yako unadhani tukibalisha wimbo ndo Mungu atasikia na kujibu maombi yetu? What a hectic! Wimbo wa Taifa sio km bongo fleva kwamba baada ya mda fulani unatoa remix.