Je, kulikuwa na ulazima gani Tanzania kuchukua wimbo wa Afrika Kusini na kuufanya wimbo wa Taifa? Kwanini tusingetunga wa kwetu?

Summary
 

Attachments

  • Screenshot_20221007-215939.jpg
    15.5 KB · Views: 2
Sasa kuwa na wimbo wa asili ya kizaramo,kinyakyusa,kichaga,utasaidia nini katika mustakabali wa Taifa,kiuchumi,Elimu,sayansi??wimbo wa Taifa sio kikwazo,vijana wa siku hizi mbona mnawaza kinyume nyume?
Bora ungejiuliza,ulimwengu,ulaya/ujerumani uliilipa Israel kutokana na mauaji ya wayahudi milioni moja!
Waafrika milioni 36!walikufa kwenye biashara ya utumwa,ukoloni,lakini Afrika haijawahi kuomba fidia kwa nini?
Swali kingine kwanini Afrika hatuna tekinolojia ya kuchimba madini,mafuta,gesi,mitambo ya kuchimba yote hutoka ulaya,pale Nigeria mafuta yanachimbwa,yanasafirishwa kwenda USA kusafishwa,harafu yanarudishwa kuuzwa Nigeria,na Nigeria ndio ina watu waliosoma sana Afrika!!
Afrika ina watu milioni zaidi ya 759,je kwanini hatuna brand ya simu,gari,pikipiki,tv,ilitengenezwa Afrika?
Katika brand hizi,Toyota,Suzuki,ford,bmw,nk Brand iliyovumbuliwa na Mwafrika ipo wapi?
Kwa nini tunaagiza Sukari,mafuta ya kura kutoka nje,kwa nini hatuzalishi hapa?kwanini tunasubili wajapan waje kutufundisha kulima mpunga wakati tuna chuo Cha kilimo SUA,na maprofesa kibao?
Kwanini wabongo Richa ya kugandamizwa na ccm,hawahandamani,hawapigi kelele,wapo bize na mpira na habari za wake za wstu kuchepuka,hakuna kituo kinachoongelea mauaji ya polisi.

Hsyo ndio maswali ya kujiuliza,sio kuwaza vitu raini kama uji
 
Kwa nini ulikubali kuzaliwa na baba wa nje(hawara ya mamayo).Ilhali mama yako ana mume aliemuoa?

Muwe mnatafuta vitu vya kujadili badala ya huu upumbavu wenu?
 
Hielewi, wala hujui kitu. Ngoja nikuopashe upashike. Wao ndiyo wameiba wimbo wetu, haikuishia hapo, pia no sisi tuliomwaga damu na kuteseka nyumbani kwa kujinyima viti ili ndugu zetu wapone. Bila Tanzania wangekuwa wanabaguliwa na makaburu hadi leo. Wimbo umezaliwa 1961, tulipopata Uhuru, kwa Kiswahili ukatukuka ukavuma, kila mtu anauona ni wa Tanganyika na baadaye Tanzania. Ndugu zetu wakati huo wako jela au jangwani, utumwani, washausahau tangu zamani. Walipopata uhuru, I mean, tulipowapa uhuru, ndoto zao za zamaanii zikarudi, kwa ulinzi na uhamisishwaji na Big Brother Nyerere na Mwinyi. Nikuulize, unafahamu kuna lugha zinaitwa dead languages? Kwa mfano Olde English au Kilatini au Kiptolemy au Ancient Greek? Zalikuwapo lakini996 zishakufa. Na Nkosi s'ikeli hivyo hovy9, it was a dead song. Bila sisi it would have "dieder" even more if you see what I mean. And oh, by the way, hata bendera yetu wameiba, wee mbona hujiulizi?
 
Sasa unakuwaje wa kwenu ilhali hamjautunga nyie?
 
Il

Naomba huo uhalisia, mimi elimu yangu inaniambia nchi huru ya Africa kusini ilianzishwa miaka ya 90 ,kabla ya hapo South ilikuwa na Rais mkaburu aliitwa Botha
Afrika Kusini imepata uhuru kabla hata ya sisi. Kilichokuwa kinapiganiwa na kilichofanikishwa 1994 ni kuondoa ubaguzi wa rangi, apartheid na kuwa na majority rule democracy.
 
Hakika nimekukubali wew mzee Bujibuji Simba Nyamaume siyo mtu wa kispotspoti ulikuwepo jf toka mwaka 2009 mm ndio Kwanza nachukuwa shahada ya Kwanza ya uhandisi

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Mimi ndio nilikuwa bado miaka miwili nistaafu
Mzeee nikupe heshima yako Sana nisamehe Kama nimewai kukutukana humu ndani au kubishana na wew

Wakt mwingine kabla mtu hujabishana nae Ni vyema Sana kuangalia status ya mtu [emoji23][emoji23] mtakuja siku kutukana Bab zenu

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Baada ya Uzi huu nilikwenda moja kwa moja ku download nyimbo hyo ya tazama ramani Kisha nakuiweka Kama muito wa kupigiwa kwa laini zote .ule nyimbo nilikuwa na mzuka nao sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
CCM ni majizi Sana,Yana usugu wa kuiba.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Una uhakika gani kuwa sio South Africa waliochukua na kuiga Tanzania?
Wimbo unaitwa Nkosi Sikeleli I Afrika,ulitungwa na Mwinjilist wa Kimethidist Enock Sontonga wa Afrika kusini miaka ya 1890 na ukaimbwa kanisani.Baadaye ukaimbwa kwenye mkutano ulioanzisha ANC 1912,baadaye ikawa unaimbwa kwenye mikutano ya Wana harakati na vyama vya kudai uhuru Afrika nzima.Makoloni yalipoanza kupata uhuru wakauchukua kama wimbo wao.Namibia,Zimbabwe,Tanzania ,Zambia na ANC waliendelea kuutumia.Kwa Sasa ni Tanzania na Zambia bado wanautumia.Afrika kusini waliuu ganisha na ule wa makaburu kwa hiyo wao wanauimba katika sehemu ya kwanza.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Angalia historia na mtunzi ni nani?

Ulianza kutumika South Africa na mtunzi ni msouth Africa!!

Tanzania tuwe na wimbo wetu unique na siyo kuwa na wimbo ukiimbwa hujui hata nani anatambulishwa, tuache uvivu!

Mpaka umeongea hivo labla una utenzi wako ushauandaa kwa ajili ya wimbo wa taifa. Tuekee hapa tuuone mkuu.
 
Nilitegemea Post yako ya kwanza utoe historia fupi ya nyimbo zote mbili kisha uje na malalamiko yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…