Je kumiliki blog nyingi zenye mambo tofauti huingiza pesa nyingi?

Je kumiliki blog nyingi zenye mambo tofauti huingiza pesa nyingi?

Friedrich Nietzsche

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
2,095
Reaction score
3,649
Kuna mdau nilikua naongea nae anasema anablog tano hadi nimeshtuka!

Anasema kwa mwezi angalau kuliko alivo kua na blog moja, wadau wazoefu hili likoje?
 
Kuna mdau nilikua naongea nae anasema anablog tano hadi nimeshtuka!

Anasema kwa mwezi angalau kuliko alivo kua na blog moja, wadau wazoefu hili likoje?
Inawezekana kama Una vyanzo Sahihi vya Contect
 
Kama content zinapatikana wew tengeneza nyingi uwezavyo
 
Kuendesha blog kunahitaji muda sana, hasa kuandaa quality contents. Kama unafanya kila kitu mwenyewe ni bora uwe kwanza na blog moja inayoingiza pesa nyingi baada ya hapo, fungua blog nyingine ambazo utakuwa vitu vingi una 'outsource'.
 
Traffic kubwa ndiyo huongeza pesa kuwa nyingi
Kwa njia zote mbili
  • Monetization
  • Affiliate
Pia katika monetization , Kuna aina ya content
Kuna content huwa inaingiza pesa nyingi hata ukiwa traffic kidogo ,
 
Waendeshaji wa blog hapa TZ wengi wana fail kwa sababu hawana content za maana za ku atrltract traffic. Biashara ya blog is all about contents. Watu wanataka contents ambazo ni genuine na useful.

Matatizo ninayo yaona kwenye blog nyingi ni kwama wanancontentnza ku copy, uzushi n.k. Pia blog nyingi ukifungua ni pop-ups na matangazo mengi kiasi kwamba huwezi hata kusoma unachitaka.

Mimi nikifungua link ya namna hiyo naifunga haraka haraka nansirudi tena.

Blog zinahitaji uwe na original contents na ziwe ni informative kwa walengwa wako. Hii mambo ya ku copy copy content za watu mtasuburi sana
 
Back
Top Bottom