Je kumpa mtoto mdogo ulimi ni sahihi kiafya?

Je kumpa mtoto mdogo ulimi ni sahihi kiafya?

whitehorse

JF-Expert Member
Joined
Aug 29, 2009
Posts
2,565
Reaction score
4,432
Wana JF Doctors nimeikuta hii pic mahali imenikera sio tu kimaadili ila pia nikafikiria kiafya pia kwa mimi ambae sina utaalamu mkubwa wa masuala ya afya nimeona hatari nyingi sana kwa mtoto huyu kwa faida ya wengi naomba msaada wa kujua je hili halina tatizo ?



e839390b5be22edcfc4affd7f8e6e77f.jpg
 
Kimaadili sioni tatizo.

Hii tongue kiss ilianzia kwa mama na mtoto wakubwa tukaiga.

Lakini ni tendo la kuonyesha upendo. Sio upendo wa ngono mnaofikiria nyie tu....wengine kwenu hata busu la shavuni mnaona ni kosa.

Mimi ni mama huwa nambusu mwanangu, lips mpaka ulimi nikizingatia afya yangu ni salama.
 
Kiafya si vizuri maana hapo unakuta mtoto anaweza pokea bakteria wakamshambulia kinywa chake nakumsababishia ugonjwa wa koo n.k
kimaadili pia si vyema mtoto huwa anamtindo wa kukalili hivyo inaweza kuwa tabia na kwenda kuwafanyia hivyo watoto wenzake,hata ugenini akifanya hivyo aibu kwako na ndio mwanzo wa usambaaji wa magonjwa
 
Kiafya na kisaikolojia sio vizuri kabisa first test ya ulimi kwa mtoto inaweza kumvutia sana na ikamtesa mpaka ukubwani katika kukua kwake ataanza kutest ndimi mbalimbali na kamwe hata ipata yenye test nzuri kama ile ya kwanza ataendelea hivyo hivyo akitafuta test ya mwanzo mwisho wa siku anakuja angukia kwenye ushoga au kusagana kumbuka ulimi ni sehemu mojawapo ya mlango wa fahamu
 
Hapo usikute katoka kulamba koni ya bwanaake, then anamnajis mtoto!

Jinga kabisa
Daah! Hata si wanaume tuna kazi ivi hivi hawa mademu tunaowachukuaga, na kuwa kisi, huwa tunakumbukaga walishanyonyaga dushe!?
 
Nikwambie kitu
Mdomo ni mchafu kuliko hata mbunye!mdogo una takataka zote unazozijua.sio ustaarabu kumpa mtt ulimi.kuna vitu tunaiga wazungu wakati hata wazungu wemyewe hawafanyi

Hatari sana hii [emoji25][emoji25][emoji25][emoji25]
 
Kimaadili sioni tatizo.

Hii tongue kiss ilianzia kwa mama na mtoto wakubwa tukaiga.

Lakini ni tendo la kuonyesha upendo. Sio upendo wa ngono mnaofikiria nyie tu....wengine kwenu hata busu la shavuni mnaona ni kosa.

Mimi ni mama huwa nambusu mwanangu, lips mpaka ulimi nikizingatia afya yangu ni salama.
Weka picha
 
Si sahihi mimi napinga sana hili. Mdomo wa mtu mzima unapita kwenye mengi si sawa hata kidogo hata ile ya kunywa kitu katika chupa au glass na kumpa mtoto mdogo kama huyu mimi napinga sana kiafya na si jambo jema kabisa.

Wana JF Doctors nimeikuta hii pic mahali imenikera sio tu kimaadili ila pia nikafikiria kiafya pia. Kwa mimi ambae sina utaalam mkubwa wa masuala ya afya nimeona hatari nyingi sana kwa mtoto huyu. Kwa faida ya wengi naomba msaada wa kujua je hili halina tatizo ?



e839390b5be22edcfc4affd7f8e6e77f.jpg
 
kama usafi wa kinywa umezingatiwa hakuna madhara wala shida yoyote kwa mtoto...
Ila tu cha kukumbuka hapo ni kuwa mtoto naye anatunza kumbukumbu, so vitendo hivyo kwa wakati fulani vinaweza kuwa na impact nyingine kwa maisha yake ya baadaye
 
Back
Top Bottom