Je kumpa mtoto mdogo ulimi ni sahihi kiafya?

Je kumpa mtoto mdogo ulimi ni sahihi kiafya?

Kwa miaka ya saivi sio sawa kabisa maana magonjwa ya kuambukiza yamekuwa mengi sana, lakini zamani kama sisi tuliolelewa na mabibi zetu lilikuwa jambo la kawaida sana bibi kutafuna chakula kwanza kilainike ndio anampa mtoto hadi anashiba. Na naamin hadi leo hyo ipo huko vijijini wabibi kuwalisha watoto/wajukuu zao kwa kuwatafunia chakula kwanza
 
Kam ni mama yake ni sawa ila imenyimwa mtu mwingine mwache amfurahie mtoto wakee.
Nenda leba au mwambie mkeo au demu wako leba akamlete wake amfanyie vitu anavyotaka afanye.
Nakama ni mtu mwingine sio fresh.
 
Hata kama awe mke wangu nikimkuta ni kichapo tu.
 
huyu mama anaonesha sio salama kimaadili hivyo hata huo ulimi anampa huyo mtoto ili amsaidie kijisikia kwake kuisheishe
 
Back
Top Bottom