mshipa
JF-Expert Member
- Jun 16, 2015
- 12,253
- 22,843
Kwa miaka ya saivi sio sawa kabisa maana magonjwa ya kuambukiza yamekuwa mengi sana, lakini zamani kama sisi tuliolelewa na mabibi zetu lilikuwa jambo la kawaida sana bibi kutafuna chakula kwanza kilainike ndio anampa mtoto hadi anashiba. Na naamin hadi leo hyo ipo huko vijijini wabibi kuwalisha watoto/wajukuu zao kwa kuwatafunia chakula kwanza