whitehorse
JF-Expert Member
- Aug 29, 2009
- 2,565
- 4,432
Daah! Hata si wanaume tuna kazi ivi hivi hawa mademu tunaowachukuaga, na kuwa kisi, huwa tunakumbukaga walishanyonyaga dushe!?Hapo usikute katoka kulamba koni ya bwanaake, then anamnajis mtoto!
Jinga kabisa
Nikwambie kitu
Mdomo ni mchafu kuliko hata mbunye!mdogo una takataka zote unazozijua.sio ustaarabu kumpa mtt ulimi.kuna vitu tunaiga wazungu wakati hata wazungu wemyewe hawafanyi
Unamaanisha yule aliyepigwa buti na Ulaya?Inategemeana na ulimi, pata picha ulimi wa Tyson wa Bunda apewe mtoto atajiskiaje?
Weka pichaKimaadili sioni tatizo.
Hii tongue kiss ilianzia kwa mama na mtoto wakubwa tukaiga.
Lakini ni tendo la kuonyesha upendo. Sio upendo wa ngono mnaofikiria nyie tu....wengine kwenu hata busu la shavuni mnaona ni kosa.
Mimi ni mama huwa nambusu mwanangu, lips mpaka ulimi nikizingatia afya yangu ni salama.
Hujaambiwa ulaumu bali ushauriNdio mambo ya kuanza kuzaa wakati hujui hata wajibu wako kama mzazi. Unaanza kumharibu mtoto angali mchanga.
Wana JF Doctors nimeikuta hii pic mahali imenikera sio tu kimaadili ila pia nikafikiria kiafya pia. Kwa mimi ambae sina utaalam mkubwa wa masuala ya afya nimeona hatari nyingi sana kwa mtoto huyu. Kwa faida ya wengi naomba msaada wa kujua je hili halina tatizo ?