[emoji16] [emoji16] [emoji16] karibuNimewahi seat ya mtuView attachment 814678
Kumbuka wadada wengi wakimpenda mwanaume wanaogopa kumwambia,,,, viashiria vyake ndio kama Kujipitishapitisha karibu na mhusika na kumsalimia hata mara 2-3 kwa sikuKumbe ndo tiketi
Usiogope ww funguka tu nipo kwa ajili yako [emoji39][emoji16] [emoji16] [emoji16] makubwa
Kula likeMimi nilianza ku like posts za Asprin tangu tukiwa darasa la kwanza
Hahahaha, [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Shikamooo