cutelove
JF-Expert Member
- Oct 3, 2017
- 3,448
- 7,972
Habari wanajamvi
Hiki kitu nimekikuta kinajadiliwa na wanaume kuwa ukiona mwanamke anakusalimia kila siku na huku hamfahamiani kwa ndani ujiongeze,kwamba huyo mwanamke anakuzimikia ile mbaya
Jamani hiki kitu hivi ni kweli kipo kwa mwanaume?
Hivi tunapokuwa tunawasalimia njiani,mtaani na huku hatufahamiani ndo tiketi ya kuanza kutongoza maana ulishaona kuwa huyo mwanamke anajitongozesha kwako?
Mnatufanya sasa tusiwe tunawasalimia