Je, kumsalimia mtu ndo dalili ya kumpenda?

Je, kumsalimia mtu ndo dalili ya kumpenda?

cutelove

JF-Expert Member
Joined
Oct 3, 2017
Posts
3,448
Reaction score
7,972
Habari wanajamvi

Hiki kitu nimekikuta kinajadiliwa na wanaume kuwa ukiona mwanamke anakusalimia kila siku na huku hamfahamiani kwa ndani ujiongeze,kwamba huyo mwanamke anakuzimikia ile mbaya

Jamani hiki kitu hivi ni kweli kipo kwa mwanaume?

Hivi tunapokuwa tunawasalimia njiani,mtaani na huku hatufahamiani ndo tiketi ya kuanza kutongoza maana ulishaona kuwa huyo mwanamke anajitongozesha kwako?

Mnatufanya sasa tusiwe tunawasalimia
 
Nimewahi seat ya mtu
IMG_20180721_133738_422.jpg
 
Hakuna huo ni mtazamo wao tu kuna mtu anafeel good kusalimiana tu na watu hivyo basi.
 
Ni kweli! Na mwanaume yeyote rijali akisalimiwa na kademu ambako hawajuani vizuri, Nakuhakikishia hatakiwi amalize week nyingine bila kukagonga
 
Mimi mwanamke akinisalimia mara mbili huwa namuomba namba
 
Back
Top Bottom