Je, kumsifia Aggrey kutaka kuwa mwanaume tena, ni kuwa homophobic?

Je, kumsifia Aggrey kutaka kuwa mwanaume tena, ni kuwa homophobic?

Prof Janabi wa JF

Senior Member
Joined
Jul 7, 2023
Posts
165
Reaction score
450
Hivi Karibuni mtu mmoja anayejihusisha na mapenzi ya jinsia moja Philemon Aggrey ameokoka na kuonesha kuwa ana nia ya kuacha na ushoga. Jamaa ameshare upekee wa maisha yake na kuonesha yako mengi kwenye maisha yanayopelekea watu kuwa hivyo, japo yeye amezungumzia zaidi masuala ya starehe na kusema kuwa starehe sio lazima iwe ni kula mitungi au kunaniliwa.

Kuonesha umwamba jamaa amepost video akiwa anafanya mazoezi na kuweka maneno kuwa "Mdogo mdogo nitakaza mpaka kikao kijacho na mimi niwepo" Nadhani anamaanisha "Kikao cha wanaume" neno ambalo linatumika kuwaamsha wanaume wenzetu ambao kidogo tunaona kama wanapotea.

Honestly nimejisikia kumpongeza kwa hatua hii ya kuacha kuliwa na kutaka kuwa mwanaume. Na nikawaza, hivi nikitokeza hadharani na kumsifu kwa hatua hii, nitakuwa nimeonesha kuwa mimi ni homophobic?

Hata hivyo kwa suala hili nampongeza na nakuta kuna umuhimu wa watu kutobadili jinsia kwa kuwa mara nyingine mtu anaweza kutamani kurudi alivyokuwa. NBa akiwa amebadili jinsia inakuwa ngumu kubadili ili arudi kama alivyokuwa awali.

Hivyo niweke wazi kuwa mimi sio homophobic, kama ambavyo nitamsifia yeyote anayeamua kutoa kijambio, ndivyo ambavyo namsifia Aggrey kwa kuacha kutoa kijambio.
1735522063697.png


Salaam kutoka kwa Trump.
Mshamba anayewakilisha taifa
 
Hivi kisheria anavyokiri hivi mitandaoni kuwa amekuwa akishiriki ngono na wanaume wenzake haiwezi mletea shida? Maana sheria zetu zinakataza mapenzi ya jinsia moja.
 
Kama ni kweli ameamua Kuokoka ni jambo jema

Angalizo amtafute Mungu kwa bidii na kuyafanya mapenzi yake maana pindi unapookoka ndipo vita na shetani huibuka kwa nguvu so Maisha ya Wokovu sio lelemama inahitaji kujidhabihu haswa
 
Wabongo sijui ni wepesi wa kuamini au wajinga??

Ntakua wa mwisho kumwamini mwanaume anayediriki kuwavulia nguo wanaume wenzie, kugonoka na kufokonyolewa mtaro!!!
 
Back
Top Bottom