Trainee
JF-Expert Member
- Sep 22, 2018
- 2,660
- 3,501
Asante,Sio jasiri ni "mjaa asili"
Leo wewe ndiye wa kwanza kunifungua uelewa katika hili.
Niliwahi kumuuliza mtaalamu mmoja wa lugha "jasiri haachi asili inamaana gani mbona haieleweki kimantiki?" mtaalamu yule akajing'atang'ata tu pale nikajua ananilazimisha nielewe kisichoeleweka
Kwahiyo leo sasa nakamata "mjaa asili haachi asili"