Je, kumuacha mtu umpendaye ni rahisi?

Najua ni cliche ila muda ni jibu tosha yaani kwangu ilichukua kitambo mpaka kusahau kabisa yaani ulipita karibia mwaka ndipo nikaanza kuona kawaida tu ila hapo katikati ilikuwa haipiti siku sijamuwaza bado ile kulia hapa na pale ukikumbuka kitu mlifanya pamoja
 
Mkuu hiyo hali ndio naipitia sasa hv
 
Yani acha tu inaumiza sana
 
Hii point sana nimeichukua
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…