Je, kumuacha mtu umpendaye ni rahisi?

Je, kumuacha mtu umpendaye ni rahisi?

Najua ni cliche ila muda ni jibu tosha yaani kwangu ilichukua kitambo mpaka kusahau kabisa yaani ulipita karibia mwaka ndipo nikaanza kuona kawaida tu ila hapo katikati ilikuwa haipiti siku sijamuwaza bado ile kulia hapa na pale ukikumbuka kitu mlifanya pamoja
 
Kumuacha mtu unayempenda maumivu yake hayaelezeki,hata kama una mademu miamoja.

Ukiona mpenzi wako mnaachana na haufeel chochote unaona ni kawaida ,hujapenda bado.

Niliwahi kupenda kiasi cha kuhurumiwa na majirani,huku wakiniambia mbona sina kasoro yeyote naliaje kisa mwanamke?

Kutokana na kaushawishi nilikonako pale mtaani wakina mama wakaingia chaka na kuibuka na pisi kali,
Elewa neno pisikali,
Wanaume wenzangu mwanamke anajua kuchagua mwanamke mwenzie ni shida.

Mtoto huyu walitaka aje kureplace nafasi ya mke wangu kipenzi na demu alikuwa tayari,binti msomi mwenye umbo zuri na sura ya kikaskazini lakini wapiiiiiiii.aliniongezea machungu tu licha ya kukutana naye kimwili lakini akili iko kwa......

Wapo majirani walikuwa tayari kunipa hata bure lakini wapiiiiii

Mapenzi yanauma wakuu
Mkuu hiyo hali ndio naipitia sasa hv
 
Najua ni cliche ila muda ni jibu tosha yaani kwangu ilichukua kitambo mpaka kusahau kabisa yaani ulipita karibia mwaka ndipo nikaanza kuona kawaida tu ila hapo katikati ilikuwa haipiti siku sijamuwaza bado ile kulia hapa na pale ukikumbuka kitu mlifanya pamoja
Yani acha tu inaumiza sana
 
Unaogopa kumpoteza kwa sababu ya weak mental frame yako, unafikiri hautaweza kupata mwanamke mwingine, unafikiri hautaweza kufanya mambo yako.

Nothing will happen to you if you decide to dump her. Fanya tamthmini ya hayo mahusiano halafu uone nani kati yenu anaewekeza zaidi, nani anemsaidia mwenzake zaidi, utagundua ni wewe, sasa kwanini uogope kuachana nae
Hii point sana nimeichukua
 
Back
Top Bottom