Je, kumuonesha Mwanamke Uume kama njia ya kumvuta kimapenzi ni sahihi?

Je, kumuonesha Mwanamke Uume kama njia ya kumvuta kimapenzi ni sahihi?

Wagiriki walipenda ngono same kwa Romans same kwa Persians, civilization zote kubwa watu walipenda ngono,, eti kisa sisi kuliongelea unasema ni wavivu na hatuna akili

Unawaongelea wakina Carl benz utafikiri wajerumani wote walikuwa kama Carl benz kuwa muda wote wanawaza engines eti,, [emoji23][emoji23]

Rudi kasome historia yako vizuri,, hayo mambo yenu ya kusema civilization zote kubwa walizofanya huge stuffs walikuwa serious cjui mwazitoa wapi,,

kuwa during beethoven kila mtu alikuwa composer[emoji23][emoji23] wabongo bhana
Hayo ya carl benz na engines umeleta wewe na hayo mengine umesema wewe hivyo usinilishe maneno. hivi unajua maana ya neno metaphor?

Swali hujajibu na liko palepale.
Kwa mantiki na reasoning yako hiyo, kama hizo civilization kubwa zote walipenda ngono kama waTanzania na simultaneously kuja na vumbuzi kubwa.
Je na nyinyi waTanzania mnaojadili na kufanya ngono muda wote ziko wapi vumbuzi zenu?

Je hapo utakataa na kubisha nikikwambia wewe na watanzania karibu wote ni wavivu na hawana akili?
 
Heee kwamba lazima tuvumbue au,, heee kwahyo kisa hatujavumbua ndo tuache kuliongelea,, weee kuwa wewe ni domo zege
 
Heee kwamba lazima tuvumbue au,, heee kwahyo kisa hatujavumbua ndo tuache kuliongelea,, weee kuwa wewe ni domo zege
Good, sasa acheni kujifananisha na Carl benz na civilization nyingine.
Na kwa jibu hili basi bila shaka unakubaliana na hoja yangu.
 
Good, sasa acheni kujifananisha na Carl benz na civilization nyingine.
Na kwa jibu hili basi bila shaka unakubaliana na hoja yangu.
Ndo mfano wako uache kuwahusisha watu wengine waliovumbua na sisi,, kama wewe ni genius basi tuache sie vilaza
 
Inategema na jamii unayotoka maana dunia imejaa jamii nyingi na zenye tamaduni tofauti
 
Ha haaaa wewe Ni mkulima....si mchagua jembe
Yaan kile nitakachokutana nacho ndicho kitakachotoa jibu kuwa naendelea au siendelei...kuonyeshana mapema unaweza kimbiza dhahabu maishani aisee
 
Yaan kile nitakachokutana nacho ndicho kitakachotoa jibu kuwa naendelea au siendelei...kuonyeshana mapema unaweza kimbiza dhahabu maishani aisee
Ewaa fanya kama vile basi...
 
Mkuu ungeambatanisha kapicha ingenouga hatari!!!
[emoji2][emoji2]
IMG_20220415_130621.jpg

Sent from my vivo X6D using JamiiForums mobile app
 
Hapa ndipo ngozi nyeusi tunapozaraulika, wenzetu wanawaza namna gani yakucreate ajira na kubuni teknologia mbali mbali sisi tunawaza ngono tu [emoji35]
Sasa si uende ukabuni teknolojia na hizo ajira humu umeafuata nini na huko uzunguni unadhani wote ni wagunduzi? Vinginevyo kaendelee kula tunda kimasihara
 
Nimeskia na kusoma visa vingi vya wanaume kutanguliza picha au kuonesha uume kama kianzio cha kumvutia mwanamke.

Je, ni kweli kuwa hii ni njia sahihii ambayo inamfanya mwanamke kupata ushawishi?

Majibu tafadhali
Kianzio ni pesa, acha ujinga dogo.
 
Back
Top Bottom