Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,622
- 4,100
Hii njia inapigiwa chapuo sana haswa na wanawake ambao hawapendi kutumia njia za uzazi wa mpango ,sasa tatizo langu ni kwamba baada ya kumwaga nje kuna mizigo mingine inakuja kwa mwendo wa taratibu kama kinyonga na unapoendelea na shughuli nahisi kabisa inaweza kusababisha ujauzito ,wataalamu wa mambo ya afya ya uzazi mnisaidie kwa hili.