duuh mimi hata sijui haya mambo ngoja waje wenye uelewa wa hiliKuna mwamba ameniambia kuwa inaleta shida kwenye ngozi sasan nikaona ni vyema niwaulize wadau.
je hawakueleza ni kwanini?Nilisoma sehemu, hupaswi kuoga mara kwa mara,
Body depreciationKuoga ni sehemu ya muhimu sana katika maisha ya binadamu, baadhi imekuwa ni kama ibada au kujitwaharisha. Wapo wanaopenda kuoga kuendana na mtindo wao wa maisha, mara moja kwa siku au mara moja kwa siku tatu, na kadhalika.
Swali langu ni hili, Je kuna madhara yoyote endapo mtu akioga mara mara kwa mara? maana baadhi ya wataalamu wa ngozi nimepata kuwasikia kuwa kuoga mara kwa mara kuna madhara, na baadhi wanashauri tuoge mara kwa mara kuondoa seli zilizokufa.