Je, kuna Bucha za nyamapori hapa Dar es Salaam?

Je, kuna Bucha za nyamapori hapa Dar es Salaam?

The Assassin

JF-Expert Member
Joined
Oct 30, 2018
Posts
4,942
Reaction score
20,077
Natambua kuwa TAWA ama Wizara ya Utalii ilizindua utaratibu wa uwindaji na uuzaji wa nyamapori kwenye baadhi ya mikoa kama Katavi, Dodoma na kwingineko.

Naomba kufahamu kama huduma kama hiyo imeanzishwa mkoa wa Dar es Salaam.

Nimechoka nyama za mbuzi, kuku, ng'ombe na kitimoto. Natamani kula nyama ya porini.

Natanguliza shukrani wakuu.
 
Back
Top Bottom