Je, kuna Bucha za nyamapori hapa Dar es Salaam?

Je, kuna Bucha za nyamapori hapa Dar es Salaam?

Kauliwa juzi tu apo taifa na mwindaji zawadi mauya mngewah mapema mngepata ila msikonde siku zijazo atauliwa tena mwingine kigoma uko ooooh shit nmesahau nyie mpo dar kumbe fanyen kumpanga mwanariadha wao akija miez ijayo aje nayo.

Ni Ayo tu wakuu
mkuu acha asikhara kwenye jambo la msingi
 
Natambua kuwa TAWA ama Wizara ya Utalii ilizindua utaratibu wa uwindaji na uuzaji wa nyamapori kwenye baadhi ya mikoa kama Katavi, Dodoma na kwingineko.

Naomba kufahamu kama huduma kama hiyo imeanzishwa mkoa wa Dar es Salaam.

Nimechoka nyama za mbuzi, kuku, ng'ombe na kitimoto. Natamani kula nyama ya porini.

Natanguliza shukrani wakuu.
piga/kula punda na castle light yako ubadili ladhwa mzee.
 
Natambua kuwa TAWA ama Wizara ya Utalii ilizindua utaratibu wa uwindaji na uuzaji wa nyamapori kwenye baadhi ya mikoa kama Katavi, Dodoma na kwingineko.

Naomba kufahamu kama huduma kama hiyo imeanzishwa mkoa wa Dar es Salaam.

Nimechoka nyama za mbuzi, kuku, ng'ombe na kitimoto. Natamani kula nyama ya porini.

Natanguliza shukrani wakuu.
Njoo ujionee mwenyewe!! yaani huku kuna Maziwa ya ngamia, mpaka nyama za ngamia!!....AL HULBA Hotel palee utapata kila chakula cha uarabuni!..kichina, ki-aboriginal, Njala-ya Ethiopiana food! India ndi usiseme wewe tu!

sembuse hayo ya wanyama pori waTanzania?? tena utapata zilizookwa swafiii!! za leo leo!! ukitaka unachagua mapande kabisa palee kapiri point!!...ugali za muhogo safi pale ndo penyewe! chezea Dar weye!!..ndo maana Dodoma wanaenda na kurudi!

Ukitaka Mbwa, kobe au paka wa china ni hapa!
 
Back
Top Bottom