Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 376,316
- 871,876
Tangu mwanzoni mwa wiki Hi kumekuwa na shida mitandaoni
1. Kutuma pesa
2. Kupokea msg za uthibitisho
3. Miamala kuchelewa kusoma
4. Msg za kawaida kuchelewa sana kufika
5. Internet kusumbua sana nknk
Yaani ni kama vile msg kuna mahali zinapitia kwanza kisha ndio zinamfikia mlengwa!
Najiuliza tuu kwani tangu lini msg zimeanza kuchepuka?
Ama kuvuta mjani?
Ama kutoa lock?
Ama kucheza njiani kama watoi wa vidudu?
Fani yangu pendwa ni ulozi sio tech lakini napata hisia kuna udhibiti wa data trafficking na censorship kubwa ya mawasiliano inafanywa kabla ya kuwafikia walengwa!
Na kuna uwezekano pengine ni shida ya simu yangu ya mchina na simu za watu ninaowasiliana nao ama mtandao wangu na mitandao yao.. Ambayo kwa pamoja yote imepata mtindio wa ubongo kwa kipindi hiki cha mpito mpwito!
Imagine unamtumia mtu msg saa tatu kamili asubuhi anakuja kuipata saa nane kasoro mchana wa adhuhuri😎 hii ni kawaida kweli wandugu!?
Kama hakuna external force za kudukua mawasiliano ya watanganyika basi kuna uwezekano mkubwa mitandao yetu pamoja na simu zetu vimepata vurugu za kimaono kunakopelekea kuchanganyikiwa na kutusababishia usumbufu mkubwa kuelekea mechi za Mnyama na mboga mboga.. Ambapo mboga wataliwa chuma 2 kwa 1 na mnyama atatakata sana!