Msigwa anavizia teuzi za UDC huyo au RC akili hanaKwenye mitiki au kwenye naniliu😂😂😂🏃🏿🏃🏿🏃🏿🏃🏿🙌🏿🙌🏿🙌🏿
View attachment 3493372
Msigwa anavizia teuzi za UDC huyo au RC akili hana
Inabidi watu wapanue matumizi ya WhatsApp na Telegram!Tangu mwanzoni mwa wiki Hi kumekuwa na shida mitandaoni
1. Kutuma pesa
2. Kupokea msg za uthibitisho
3. Miamala kuchelewa kusoma
4. Msg za kawaida kuchelewa sana kufika
5. Internet kusumbua sana nknk
Yaani ni kama vile msg kuna mahali zinapitia kwanza kisha ndio zinamfikia mlengwa!
Najiuliza tuu kwani tangu lini msg zimeanza kuchepuka?
Ama kuvuta mjani?
Ama kutoa lock?
Ama kucheza njiani kama watoi wa vidudu?
Fani yangu pendwa ni ulozi sio tech lakini napata hisia kuna udhibiti wa data trafficking na censorship kubwa ya mawasiliano inafanywa kabla ya kuwafikia walengwa!
Na kuna uwezekano pengine ni shida ya simu yangu ya mchina na simu za watu ninaowasiliana nao ama mtandao wangu na mitandao yao.. Ambayo kwa pamoja yote imepata mtindio wa ubongo kwa kipindi hiki cha mpito mpwito!
Imagine unamtumia mtu msg saa tatu kamili asubuhi anakuja kuipata saa nane kasoro mchana wa adhuhuri😎 hii ni kawaida kweli wandugu!?
Kama hakuna external force za kudukua mawasiliano ya watanganyika basi kuna uwezekano mkubwa mitandao yetu pamoja na simu zetu vimepata vurugu za kimaono kunakopelekea kuchanganyikiwa na kutusababishia usumbufu mkubwa kuelekea mechi za Mnyama na mboga mboga.. Ambapo mboga wataliwa chuma 2 kwa 1 na mnyama atatakata sana!View attachment 3493367
Wanafanya hivyo...Watau, lakini hawatoweza maliza nchi yote. Mabadiriko hayazuiliki
Watu wameshituka mapema sanaaa..Wanafanya hivyo...
Kuna maneno yamekuwa coded kwenye system za service provider
Ukiandika neno 'maandamano'
Kule kwenye service provider inareport...
Labda watu watumie whassap, telegram nk nk na VPN ni muhimu kuwa nayo
VPNSoon nayo inakula kitanzi
Tangu mwanzoni mwa wiki Hi kumekuwa na shida mitandaoni
1. Kutuma pesa
2. Kupokea msg za uthibitisho
3. Miamala kuchelewa kusoma
4. Msg za kawaida kuchelewa sana kufika
5. Internet kusumbua sana nknk
Yaani ni kama vile msg kuna mahali zinapitia kwanza kisha ndio zinamfikia mlengwa!
Najiuliza tuu kwani tangu lini msg zimeanza kuchepuka?
Ama kuvuta mjani?
Ama kutoa lock?
Ama kucheza njiani kama watoi wa vidudu?
Fani yangu pendwa ni ulozi sio tech lakini napata hisia kuna udhibiti wa data trafficking na censorship kubwa ya mawasiliano inafanywa kabla ya kuwafikia walengwa!
Na kuna uwezekano pengine ni shida ya simu yangu ya mchina na simu za watu ninaowasiliana nao ama mtandao wangu na mitandao yao.. Ambayo kwa pamoja yote imepata mtindio wa ubongo kwa kipindi hiki cha mpito mpwito!
Imagine unamtumia mtu msg saa tatu kamili asubuhi anakuja kuipata saa nane kasoro mchana wa adhuhuri😎 hii ni kawaida kweli wandugu!?
Kama hakuna external force za kudukua mawasiliano ya watanganyika basi kuna uwezekano mkubwa mitandao yetu pamoja na simu zetu vimepata vurugu za kimaono kunakopelekea kuchanganyikiwa na kutusababishia usumbufu mkubwa kuelekea mechi za Mnyama na mboga mboga.. Ambapo mboga wataliwa chuma 2 kwa 1 na mnyama atatakata sana!View attachment 3493367
Nina furaha Kwakweli kwa kushindwa kwa maandamano yenu🤣🤣🤣Tangu mwanzoni mwa wiki Hi kumekuwa na shida mitandaoni