Je, kuna changamoto kwenye kupatikana kwa mtandao wa ardhi kwenye uhakiki wa hati za kidigitali?

Sheila2023

New Member
Joined
Mar 8, 2023
Posts
1
Reaction score
0
Wadau, kwa kama miezi miwili sasa nikijaribu ku scan barcode ya hati yangu iliyotolewa na ardhi inagoma kuniletea taarifa za hati.

Je, ni kuwa website ya verification ya documents ya ardhi kweli ina matatizo au wajanja washachakachua?

Mwaka jana nilikuwa niki-scan inaniletea copy ya hati husika.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…