Salaam waungwana
JF ni kisima cha maarifa na watu wengi wa humu wana uzoefu wa vitu vingi. Naomba kuuliza kama kuna dawa ya asili ya mtu mwenye matatizo macho specific kutoona mbali ( myopia)