Je kuna dawa (asili) ya matatizo kutoona mbali??

Rosicky

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2015
Posts
1,202
Reaction score
2,045
Salaam waungwana
JF ni kisima cha maarifa na watu wengi wa humu wana uzoefu wa vitu vingi. Naomba kuuliza kama kuna dawa ya asili ya mtu mwenye matatizo macho specific kutoona mbali ( myopia)

Aasaalam
 
Kula matunda sana sana karoti , kula mlonge ,kula mboga mboga za majani.
 
Salaam waungwana
JF ni kisima cha maarifa na watu wengi wa humu wana uzoefu wa vitu vingi. Naomba kuuliza kama kuna dawa ya asili ya mtu mwenye matatizo macho specific kutoona mbali ( myopia)

Aasaalam
Kula matunda ya njano mf papai,embe,boga,
Pia kula mayai, kwa wingi
 
Back
Top Bottom