Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kula matunda sana sana karoti , kula mlonge ,kula mboga mboga za majani.Salaam waungwana
JF ni kisima cha maarifa na watu wengi wa humu wana uzoefu wa vitu vingi. Naomba kuuliza kama kuna dawa ya asili ya mtu mwenye matatizo macho specific kutoona mbali ( myopia)
Aasaalam
Kula matunda ya njano mf papai,embe,boga,Salaam waungwana
JF ni kisima cha maarifa na watu wengi wa humu wana uzoefu wa vitu vingi. Naomba kuuliza kama kuna dawa ya asili ya mtu mwenye matatizo macho specific kutoona mbali ( myopia)
Aasaalam