Je, kuna Dawa au Mafunzo ya kumsaidia mtu kutoshikwa haja ndogo mara kwa mara hasa awapo Safarini au Mkutanoni?

Je, kuna Dawa au Mafunzo ya kumsaidia mtu kutoshikwa haja ndogo mara kwa mara hasa awapo Safarini au Mkutanoni?

Huko mnakotukataza tusiende ndiyo Kutamu kwakuwa kuna Joto zuri halafu Kunabana kuliko kule Kulikozoeleka enzi.
Mwanangu Ushaoza kizazi ebu imagin choo cha shimo kile kama umewah kutumia vile funza wanatambaa juu ndo ulivyo huko ndani ambako mkojo haitaki kukaa🤣
 
Mwanangu Ushaoza kizazi ebu imagin choo cha shimo kile kama umewah kutumia vile funza wanatambaa juu ndo ulivyo huko ndani ambako mkojo haitaki kukaa🤣
Mkuu naona leo umetumwa kuja Kunitisha. Kwa tulio Wazoefu huwa tunawaambia Kwanza Wakanye / Wakaukweke kabla ya 'KuwaMombasa' huko ili kuondokana na haya Madhara ambayo unanitisha nayo hapa. au hata Mtu akienda Kuukweka / Kunya bado Makimba yanabakia Tigoni mwake kiasi kwamba 'akiMombasiwa' ataleta Madhara?
 
Mkuu unahis Bacteria na Fungus wanaondoka kwa Kuukweka na Kuchamba? Na hata ingekua hivyo kwani anaingiza sabuni na dodoki huko ndani anasugua?

Usidanganyike labda useme unatumua Condom
 
Yupo Mheshimiwa mmoja aliwahi tokwa mkojo, hii pia inasababishwa na diabetes ni kama inaua mishipa.

Pia ukijijua hivyo angalia na unywaji wako wa viminika.

But anyways, ngoja doctors waseme.
Nadhani ni tezi dume (BPH) Ndiyo baba wa tatizo la kushindwa kuzuia mkojo.
 
Ushauri
Kama unajua kesho una kikao, au una presentation au una safiri kuanzia siku moja kabla ya tukio punguza kula vitu vya majimaji, hiii itakusaidia sana. Ila ukiwa kwenye hali ya kawaida vitu hivyo ni vizur kiafya
 
Back
Top Bottom