Binti Sayuni03
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 1,075
- 1,913
Mh! Hii ni mpya sasaUkimwagiwa ndani sana ngozi inakuwa nyororo sana. Tafuta mwenye uji mwingi.
tafuta maduka ya dawa makubwa na ya urembo, huwezi kukosaNilipokuwa mdogo nilikuwa mtundu, hivyo ikasababisha vidonda haswa miguuni vilivyopona vikaacha alama za makovu.
Lakini, pia niliwahi kuumwa tetekuwanga nilivyopona zikaacha alama mwili mzima, japo huwa zinaisha kidogo kidogo lakini haya makovu ya zamani ya vidonda ya miguu pamoja na haya ya tetekuwanga hayanipi muonekano mzuri wa miguu yangu.
Hivyo, nilikuwa nauliza wakuu kuna dawa yoyote nayoweza kutumia ikaniponyesha haya makovu??
Sawa mkuu nitafanya hivyotafuta maduka ya dawa makubwa na ya urembo, huwezi kukosa