Binti Sayuni03
JF-Expert Member
- Jan 21, 2025
- 1,075
- 1,913
Nilipokuwa mdogo nilikuwa mtundu, hivyo ikasababisha vidonda haswa miguuni vilivyopona vikaacha alama za makovu.
Lakini, pia niliwahi kuumwa tetekuwanga nilivyopona zikaacha alama mwili mzima, japo huwa zinaisha kidogo kidogo lakini haya makovu ya zamani ya vidonda ya miguu pamoja na haya ya tetekuwanga hayanipi muonekano mzuri wa miguu yangu.
Hivyo, nilikuwa nauliza wakuu kuna dawa yoyote nayoweza kutumia ikaniponyesha haya makovu??