Je, kuna faida kusajili gari nje ya nchi

Khalid91

Member
Joined
Feb 2, 2020
Posts
61
Reaction score
43
Wakuu, kuna faida gani na risk nikinunua gari South Africa na nikisajili kule kisha nikaja nalo Tanzania nikawa natembelea huku kwa plate number za kule.
 
Sio mjuzi ila naamini kuna kibali maalumu na sidhani kama kuna faida yoyote kubwa zaidi ya kutokipia ushuru kwa muda maalum mpaka kibali kitakapoisha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hakuna shida ila utakuwa unalipia huo usajili kila mwaka
Wakuu, kuna faida gani na risk nikinunua gari South Africa na nikisajili kule kisha nikaja nalo Tanzania nikawa natembelea huku kwa plate number za kule.

Jr[emoji769]
 
Hakuna shida ila utakuwa unalipia huo usajili kila mwaka

Jr[emoji769]
Hbr kaka mshana,Kwa uzoefu wako wanakuchaji vipi?yani vigezo hasa vimekaaje?gharama yake ikoje? Je hakuna ukomo?
 
Mkuu inabidi uwe na resident permit au working permit, kadi ya gari inabidi isome jina lako..karatasi za interpol uwe nazo halafu ukifika boda ya Tanzania utakata kitu kinaitwa Temporary permit yanyewe huanzia mwezi mmoja hadi mitatu rate yake ni $20 kwa mwezi na $5 ni fuel levy..kwaio kwa miezi mitatu ni $65 ila kwasasa hivi kuna changamoto unaweza pewa mwezi mmoja au pungufu ya mwezi..
 
Mfano mtu akinunua south gari anaweza litumia tanzania miez hata 2 huku akijipanga kwa ajili ya kulilipia ushuru TRA?

Sent from my TECNO B1g using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom