Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wakuu, kuna faida gani na risk nikinunua gari South Africa na nikisajili kule kisha nikaja nalo Tanzania nikawa natembelea huku kwa plate number za kule.
Wakuu, kuna faida gani na risk nikinunua gari South Africa na nikisajili kule kisha nikaja nalo Tanzania nikawa natembelea huku kwa plate number za kule.
Hbr kaka mshana,Kwa uzoefu wako wanakuchaji vipi?yani vigezo hasa vimekaaje?gharama yake ikoje? Je hakuna ukomo?Hakuna shida ila utakuwa unalipia huo usajili kila mwaka
Jr[emoji769]
Mkuu inabidi uwe na resident permit au working permit, kadi ya gari inabidi isome jina lako..karatasi za interpol uwe nazo halafu ukifika boda ya Tanzania utakata kitu kinaitwa Temporary permit yanyewe huanzia mwezi mmoja hadi mitatu rate yake ni $20 kwa mwezi na $5 ni fuel levy..kwaio kwa miezi mitatu ni $65 ila kwasasa hivi kuna changamoto unaweza pewa mwezi mmoja au pungufu ya mwezi..Hbr kaka mshana,Kwa uzoefu wako wanakuchaji vipi?yani vigezo hasa vimekaaje?gharama yake ikoje? Je hakuna ukomo?
Mfano mtu akinunua south gari anaweza litumia tanzania miez hata 2 huku akijipanga kwa ajili ya kulilipia ushuru TRA?Mkuu inabidi uwe na resident permit au working permit, kadi ya gari inabidi isome jina lako..karatasi za interpol uwe nazo halafu ukifika boda ya Tanzania utakata kitu kinaitwa Temporary permit yanyewe huanzia mwezi mmoja hadi mitatu rate yake ni $20 kwa mwezi na $5 ni fuel levy..kwaio kwa miezi mitatu ni $65 ila kwasasa hivi kuna changamoto unaweza pewa mwezi mmoja au pungufu ya mwezi..