Je, kuna haja kwa familia ya Mzee Lowassa kuwashitaki wanasiasa hawa wa CHADEMA?

Nehemia Kilave

JF-Expert Member
Joined
Jan 9, 2022
Posts
1,414
Reaction score
3,118
Habari JF , sakata la Mwenyekiti Mbowe vs Mchungaji msigwa linaturudisha Nyuma sana.

Kipindi Mzee lowassa-RIP anasemwa vibaya kila kona na kuchafuliwa lakini mwisho wa Siku alikuja kuwa mgombea wa chama cha CHADEMA.

nadhani kinachofanywa na Mwenyekiti ni kutokomaa kisiasa

Je na familia ya mzee lowassa ishitaki kwa kuchafuliwa jina kwa Mzee Lowassa?


Soma Pia:
 
Hatumuoni DAB ?
 
Waambie washtaki tu. Ni haki yao.

Mbona Membe alimshitaki Musiba na akashinda. Mtu akija personal then you have the tight to fire it back personal.
 
 
Familia ya Lowassa ni watu wa ku move on wamesamehe kupokonywa urais watashitaki haya mavi ya kale yasiyonuka?

Mtu wa kushitaki nani sasa? Mama Regina? Freddy?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…