Je, kuna haja kwa familia ya Mzee Lowassa kuwashitaki wanasiasa hawa wa CHADEMA?

Peleka ujinga wako huko. Unamuuliza nani hapa badala ya kwenda kuwashauri waende? Idiot!
 
Kaliba ya lowasa na Mbowe ni tofauti.
Pia uamuzi ni mtu binafsi
 
SIASA HAINA ADUI WA KUDUMU AU URAFIKI WA KUDUMU, MUHIMU NI MASILAHI YA KUDUMU.

Ukielewa hilo inatosha.
 
Ujinga tu mnawaga maccm

Hivi ni lini lowasa aliwahi jitetea akaeleweka kutohusika na kuwamo kwenye list of shame pale mwembe yanga
 
Ujinga tu mnawaga maccm

Hivi ni lini lowasa aliwahi jitetea akaeleweka kutohusika na kuwamo kwenye list of shame pale mwembe yanga
Ni nini kilifanya tukamsimamisha kuwa mgombea wetu CDM ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…