Je kuna haja ya kujenga mazoea Kwanza na demu au kumtongoza papo kwa hapo?

Je kuna haja ya kujenga mazoea Kwanza na demu au kumtongoza papo kwa hapo?

Sina uzoefu sana na maswala ya mahusiano, lakini nadhani ni vyema kutengeneza connection kwanza.
 
Huo muda wa kujenga mazoea sijui urafiki ni wastage of time, unakua huna shughuli zingine za kufanya?

Lengo ni kumtongoza, mtongoze akikataa basi sababu unaweza jenga hayo mazoea na bado akakukataa
Alafu pia ukiona unatumia muda mrefu kujenga mazoea au urafiki ili uje kutongoza basi jua ww ni maskini. Ukiwa vizuri kiuchumi huo muda wote wa kutaka kumzoea ili uje kumtongoza hautakua nao maana upo busy

Pia yeye akiona upo vizuri kiuchumi wala hutatumia nguvu zote hizo na miezi yote hiyo ya kutaka urafiki na mazoea
 
Mara nyingi hua siweki lengo mbele hata kama najua lengo ni 'mgegedo orientated mahusiano', hua naweka urafiki taratibu kwa nidhamu ya hali ya juu mwisho wa siku namba atatoa mwenyewe na tutadate
 
Back
Top Bottom