Huo muda wa kujenga mazoea sijui urafiki ni wastage of time, unakua huna shughuli zingine za kufanya?
Lengo ni kumtongoza, mtongoze akikataa basi sababu unaweza jenga hayo mazoea na bado akakukataa
Alafu pia ukiona unatumia muda mrefu kujenga mazoea au urafiki ili uje kutongoza basi jua ww ni maskini. Ukiwa vizuri kiuchumi huo muda wote wa kutaka kumzoea ili uje kumtongoza hautakua nao maana upo busy
Pia yeye akiona upo vizuri kiuchumi wala hutatumia nguvu zote hizo na miezi yote hiyo ya kutaka urafiki na mazoea