MlimaSayuni
JF-Expert Member
- Mar 23, 2013
- 7,285
- 13,703
Ni muhimu tufahamiane, na uzuri wameanza wao sisi tunafanya finishing tu.Tunahitaji walau tujue
Binafsi nashangaa kuona kwamba watanganyika ndo kwanza wanaanza kuyaelewa haya mambo. Lakini sisi watanganyika tunaofanya kazi na kuishi ZNZ hayo yaliosemwa si mageni bali tu kwa sasa wameanza kuyaweka wazi. Nimejaribu kusikiliza utetezi wa waziri wa afya nadhani amejaribu tu kupoza, lakini alichokisema ndo uhalisia. Tujiulize aliposema watu milioni 60 alimaanisha population ya wapi? Kwenye ufafanuzi kataja ZHIF, hii wakati inaanzishwa members walikubaliwa kwamba wategemezi wao ambao ni wazazi, wenza na watoto bila kujali ukomo watanufaika. Matokeo yake makato yaliovoanza zitokatolewa kadi kwa wanachama pekee yake. Hakuna mwenza wala mzazi wa mwanachama anayeweza kunufaika. Badala yake ukienda kufuatilia unaulizwa wewe unafanya kazi sekta gani? kama uko serikalini familia inapewa huduma kama uko sekta binfasi unaambiwa inabidi wazazi na mke au mme uwakatie bima ndani ya bima kwa kulipia 250,000 kwa mwaka. Manake ni nni? Ni kwamba kwa baba, mama na mke utoe laki 7 na nusu kila mwaka ili watu hao waweze kuwa wanachama wa zhif na kupata huduma. Hii yote imefanyika kwa makusudi kwa sababu wanajua sekta binafsi walio wengi ni watanganyika, japo na namba ndogo ya watu wao walioko sekta binafsi nao wameathirika. Pia niliwahi kuandika kuhusu wanafunzi wa vyuo vya kati kutoka bara wanapokuja Zanzibar kufanya mafunzo kwa vitendo kutakiwa kulipia kibali cha mafunzo wizarani ambacho kingharimu 150K. Mambo ni mengi kama wewe ni Mtaanganyika ukiamua kununu nyumba hautoweza kuiza tena, manake wakati wa kuuza utaombwa kitambulisho cha Mzanzibari, lakini wakati huo huo watu wa mataifa mengine wanannua nyumba na kuuza bila shida, wananua ardhi bila shida yoyote, shida ni mtanganyika.Tunahitaji walau tujue
Wazanzibari ndiyo wameanza kinachofuata ni kuwashika bega tu.Acheni Ujinga, Pambaneni na CCM sio wazanzibari.
Huu muungano ukivunjika wao ndio wana kikubwa cha kupoteza kuliko Tanganyika
Wazanzibari ndiyo wameanza kinachofuata ni kuwashika bega tu.
CCM kwa kukataa muundo wa serikali tatu ndiyo wanasababisha huu muungano wa mchongo ufe. Mimi nitafanya sherehe kubwa sna siku huu muungano ukivunjika.Wazanzibari hawataki MUUNGANO, hawana shida na Watanganyika, kinachotakiwa ni kuwapa Nchi yao na kila mtu arudi kwao.
Eeeeh hili ni tusi jipya aseee khaaa πππWewe endelea kuvaa tu msuli huko Mchamba Wima! Wazanzibar wenye Biashara zao huku bara wakikusikia wanaweza kukuchinja! Kwa ufupi Tofauti ya MAVI na UBONGO wako ni Joto na Harufu tu
nonsense πHivi karibuni Wazanzibari wamekuwa wakionyesha ubaguzi wa hali ya juu sana. je maandamano yajayo mali zao zitakuwa salama?
Je huko mbele Wazanzibari watakuwa na amani kukaa na Watanganyika kama majirani
Tanganyika haipo,labda tangawiziHivi karibuni Wazanzibari wamekuwa wakionyesha ubaguzi wa hali ya juu sana. je maandamano yajayo mali zao zitakuwa salama?
Je huko mbele Wazanzibari watakuwa na amani kukaa na Watanganyika kama majirani