Je, kuna haja ya kusambaza taarifa za Wazanzibari wanaomiliki Ardhi na Biashara Tanganyika?

Je, kuna haja ya kusambaza taarifa za Wazanzibari wanaomiliki Ardhi na Biashara Tanganyika?

Baadhi ya watanganyika wachache ndiyo wametufikisha hapa kwa kuwatetea.wazanzibar kama vile Tanganyika tunanufaika.zanzibar chakwao ni cha kwao lakini cha Tanganyika ni cha wote.Mfano maliasili zamani ilikuwa ni mambo ya muungano lakini wao walipogundua mafuta wakayatoa kwenye mambo ya muungano ili wanufaike pele yao.

Lakini wakati huo wazanzibari wapo sehemu nyingi tu kwenye sekta mbalimbali Tanganyika na kujimilikisha ardhi kwa mahekali na kujimilikisha nchi ndani ya Nchi ya tanganyika(Makurunge ni mali ya zanzibar na mtanganyika haruhusiwi kukaa pale licha ya sehemu hiyo kuwa ni ndani ya Tanganyika).
 
Nafikiri tunatakiwa tusome partition of India, flight of Muslim from India and Hindu from Pakistan. How it led to suffering, death and a war that is stills consuming fhe countries to date. We need to understand that it start small, simple grievances that turn out to be a big problem.
History is there to be learned. Lets learn.
 
munatakiwa muelewe kuwa, Zanzibar kuna watanganyika wengi zaidi kuliko wazanzibari ambao wapo Bara. kwa hiyo chochote mnachojaribu kufikiria pia mufikirio matakoe yatakayotokea upande wa pili
 
Back
Top Bottom