kilamba lamba
JF-Expert Member
- May 27, 2020
- 427
- 738
Haya mambo ni hatarUnahisi kuchapiwa, mko wengi au kuna anataka kukuvisha?
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] dahkuchoka na kusinzia akiwahi kuamka aakikuacha kitandani mwili kukuisha nguvu pia wakati mimba ikiwa miezi michanga. Kama ni mtoto wa kiume utapata mkwanja kwa nja za tabu sana akizaliwa mambo yanaachia sawia
Ndiyo mkuu mfano kama kutapika nakujisikia kichefu chefuNawasalimu sana wana jamvi. Natumai mko vizuri na mungu ana bless sana.
Hivi najiuliza. Je kuna ishara yoyote amabyo mwanaume anaweza kupata ikiwa mimba ni ya kwake kwa mwanamke yoyote . Awe anaishi nae au yupo mbali nae.
Kwa wanaojua hilo naomba washushe nondo hapa tuzijue na sisi.
Vipo viashiria japo sio kwa woteNawasalimu sana wana jamvi. Natumai mko vizuri na mungu ana bless sana.
Hivi najiuliza. Je kuna ishara yoyote amabyo mwanaume anaweza kupata ikiwa mimba ni ya kwake kwa mwanamke yoyote . Awe anaishi nae au yupo mbali nae.
Kwa wanaojua hilo naomba washushe nondo hapa tuzijue na sisi.
Zipo dalili japo sio kwa woteHakuna jambo la namna hiyo epuka matapeli ndugu shauli yako utalea mwana si wako!