Je kuna ishara yoyote ambayo mwanaume anaweza kupata ikiwa mimba ni ya kwake?

Je kuna ishara yoyote ambayo mwanaume anaweza kupata ikiwa mimba ni ya kwake?

We Lea tuu ukija kujua mtoto sio wako unamroga huyo mwanamke tuu kwisha habari yake
 
Dalili zipo hasa anapojifungua kama ni damu yako kweli utapata shida sana kuna mambo yanakuwa yanaendelea kwenye ulimwengu wa roho. Ninaongea hili kulingana na uzoefu
 
Nawasalimu sana wana jamvi. Natumai mko vizuri na mungu ana bless sana.

Hivi najiuliza. Je kuna ishara yoyote amabyo mwanaume anaweza kupata ikiwa mimba ni ya kwake kwa mwanamke yoyote . Awe anaishi nae au yupo mbali nae.

Kwa wanaojua hilo naomba washushe nondo hapa tuzijue na sisi.

Yes ipo kwnza kuumwa tumbo au kupata kizunguzungu yani Kuna changes itakuja Ambayo ni tofaut na mwili wako
 
Mwanangu kapime tu dna.
Au subiri ufanye blood grouping mtoto akifika hata miez 9 huko, lakn ukikuta jamaa aliekugongea na yeye n same blood group, umeliwa
Blood groups hazihusiani na Mtoto ni wako au sio wako!umesomea wap hyo ahahah
 
Vipo viashiria japo sio kwa wote
Hasira
Kususasusa
Uchovu usio na sababu
Kichefuchefu
Tumbo kuongezeka
Kupenda malimao, ndimu na mbilimbi nknk
Ukisikia mwanaume ndio kaibeba mimba ndio huku sasa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kijana mmoja mtaani alipatwa na hali kama ulivoeleza mara tu baada ya mke wake kubeba ujauzito.

Alikuwa anachagua sana vyakula halafu anatapika hadi anatia huruma wakati huo mke wake hapati hata kichefuchefu na vyakula vyote alikuwa anakula

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika wachangiaji wote sijapata jibu sahihi
Kuna rafiki angu alibeba mimba after one night stand na rafik ake akaamua kumficha ila yule kaka from no where alianza kumsumbua akimwambia anahis ana mimba yake na hapo hawakua wameonana kwa muda mrefu baada ya ile siku waliyosex.
 
Kijana mmoja mtaani alipatwa na hali kama ulivoeleza mara tu baada ya mke wake kubeba ujauzito.

Alikuwa anachagua sana vyakula halafu anatapika hadi anatia huruma wakati huo mke wake hapati hata kichefuchefu na vyakula vyote alikuwa anakula

Sent using Jamii Forums mobile app
Ndivyo ilivyo lazima ipige kwa mmoja na marachache kwa wote [emoji23]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom