Sahihi kabisakuchoka na kusinzia akiwahi kuamka aakikuacha kitandani mwili kukuisha nguvu pia wakati mimba ikiwa miezi michanga. Kama ni mtoto wa kiume utapata mkwanja kwa nja za tabu sana akizaliwa mambo yanaachia sawia
Yaa nakubaliana na weweIpo kwa baadhi ya watu...
Nawasalimu sana wana jamvi. Natumai mko vizuri na mungu ana bless sana.
Hivi najiuliza. Je kuna ishara yoyote amabyo mwanaume anaweza kupata ikiwa mimba ni ya kwake kwa mwanamke yoyote . Awe anaishi nae au yupo mbali nae.
Kwa wanaojua hilo naomba washushe nondo hapa tuzijue na sisi.
Blood groups hazihusiani na Mtoto ni wako au sio wako!umesomea wap hyo ahahahMwanangu kapime tu dna.
Au subiri ufanye blood grouping mtoto akifika hata miez 9 huko, lakn ukikuta jamaa aliekugongea na yeye n same blood group, umeliwa
Kijana mmoja mtaani alipatwa na hali kama ulivoeleza mara tu baada ya mke wake kubeba ujauzito.Vipo viashiria japo sio kwa wote
Hasira
Kususasusa
Uchovu usio na sababu
Kichefuchefu
Tumbo kuongezeka
Kupenda malimao, ndimu na mbilimbi nknk
Ukisikia mwanaume ndio kaibeba mimba ndio huku sasa
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna rafiki angu alibeba mimba after one night stand na rafik ake akaamua kumficha ila yule kaka from no where alianza kumsumbua akimwambia anahis ana mimba yake na hapo hawakua wameonana kwa muda mrefu baada ya ile siku waliyosex.Katika wachangiaji wote sijapata jibu sahihi
Ndivyo ilivyo lazima ipige kwa mmoja na marachache kwa wote [emoji23]Kijana mmoja mtaani alipatwa na hali kama ulivoeleza mara tu baada ya mke wake kubeba ujauzito.
Alikuwa anachagua sana vyakula halafu anatapika hadi anatia huruma wakati huo mke wake hapati hata kichefuchefu na vyakula vyote alikuwa anakula
Sent using Jamii Forums mobile app