Tochuku
JF-Expert Member
- Aug 16, 2024
- 5,322
- 8,412
Leo hii wachungaji, manabii, maaskofu wengine mapadri wanatekwa na wengine wamefanikiwa kukimbia nchi...
Makanisa yamefungwa baadhi, haya naskia hata kwenye Ibada wametumwa watu waovu ndio hao mnawaita wasiojulikana kwenda kusikiliza mahubiri ili kusudi kama ni kukosoa ama kuhubiri Haki na utawala Bora basi Ibada ikiisha tu taarifa zinaenda mahali na mwisho wa siku "unajiteka" na kua na msongo wa mawazo na kusumbuliwa na mahusiano ya kimapenzi na madeni.
Hata baadhi ya ndugu zetu waislamu wapenda HAKI na wasiokubali kabisa haya wanashangaa mbona ndugu zetu WAKRISTO wanapitia mateso makali kama ya Bwana Yesu Pale msalabani?
Utavunaaa ulichopanda panda ...utavuna ulichopanda panda ...