Je Kuna kipindi ambacho WAKRISTO na makanisa wamepitia nyakati ngumu kama hivi Sasa?

Tochuku

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2024
Posts
5,322
Reaction score
8,412
Leo hii wachungaji, manabii, maaskofu wengine mapadri wanatekwa na wengine wamefanikiwa kukimbia nchi...

Makanisa yamefungwa baadhi, haya naskia hata kwenye Ibada wametumwa watu waovu ndio hao mnawaita wasiojulikana kwenda kusikiliza mahubiri ili kusudi kama ni kukosoa ama kuhubiri Haki na utawala Bora basi Ibada ikiisha tu taarifa zinaenda mahali na mwisho wa siku "unajiteka" na kua na msongo wa mawazo na kusumbuliwa na mahusiano ya kimapenzi na madeni.

Hata baadhi ya ndugu zetu waislamu wapenda HAKI na wasiokubali kabisa haya wanashangaa mbona ndugu zetu WAKRISTO wanapitia mateso makali kama ya Bwana Yesu Pale msalabani?

Utavunaaa ulichopanda panda ...utavuna ulichopanda panda ...
 
Kila jambo linapotokea katika dunia, lina maana yake katika ulimwengu wa Mungu na miungu.
 
Unajua kabla mfalme Constantine hajaamu kuokoka na kufanya Ukristo kuwa Dini Kuu ya Warumi walikuwa wanapitia kibano kiasi gani ?

Moral of the Story : kama wewe ni Kikundi ukipambana na Mamlaka wataku-deal na ili Mamlaka ishindwe kuwa-deal ni bora mkaangalia matatizo kama matatizo na sio nani anatatizwa (Yaani yoyote akitekwa au kutotendewa Haki pigeni Kelele na sio Kupiga kelele sababu ni fulani bali sababu ya Tendo linalofanywa kama sio Haki)
 
There is Christian prosecution going on worldwide. JESUS is at the door.

Pastor kwenye ibada ya mazishi ya halaiki juzi huko Nigeria:

Your browser is not able to display this video.


Nigeria






Sudan




China



India



North Korea




Iran




Mozambique




Congo




The world is focused on Gaza while there's a whole other people group prosecuted all over the world


 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…