Papillon 1906
JF-Expert Member
- Jun 19, 2025
- 228
- 753
Ni vipi hivyo?
Yaani Avatar ni ya Makavelli, alafu asivute! labdaMkuu ni nini hicho unachovuta?
Ndio, kipo. Zaidi ya chumvi, kuna kitu kingine kikuu kisicho hai (madini) ambacho binadamu anakula au kukitumia kila siku nacho ni maji.
Mkuu Gongo na Konyagi zina uhai gani
Kwani wewe unakula vitu gani vilivyo hai?
Gongo na konyagi vinatokana na vitu vilivyokuwa Hai kwanza ndipo vikafanyiwa mchakato.Mkuu Gongo na Konyagi zina uhai gani