Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 13,544
- 43,537
Wanasayansi wa JF wanakuja.... comedian tupo tunabugia aslay mihogo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ewaaaah hiyo inaitwa fuel ejection kama sikosei..Ili uwaokoe watu ndege inatakiwa kumwaga Mafuta nakushuka slow kwenye maji hapo unaokoa watu
Naaamnaaam welcomePoor brain😄
😁😁😁😁Sema kitu mkuuWanasayansi wa JF wanakuja.... comedian tupo tunabugia aslay mihogo
HahahaaMkuu watu tunapambania maisha..
Sasa wewe sijui unapambania nini
😁😁😁😁😁
Awali ulikuwa na maswali mengi, ambayo ukafanikiwa kupatiwa majibu na wataalam.View attachment 3072192
Salama wakuu..
Kwanza awali ya yote pitia video hapo juu ambayo ina 563kb hata MB bado haijafika hivo wacha uwoga wa kufungua video..
Kipindi sina uwelewa wa mambo ya fizikia hilo jambo hapo juu la jamaa kuchukua hatua ya kuruka kutoka kwenye ndege mpaka chini ya maji nilijua ni simple sana.
Lakini baada ya kuja kukaa na wataalamu wakawa wanasema ni bora uangukie kwenye miti na sio kwenye maji..
Wengine wakafika mbali na kusema ni ngumu kuruka kutoka kwenye ndege hasa za abiria kutokana na ile speed yake ukiongeza mda huo mpo kwenye moment ya accident mambo huwa tofauti.
Sasa kwa tukio hilo hapo juu kitaalamu wakuu lipoje je atapona huyo jamaa au ndo kwisha habari yake..
Najua kuna watu watakua wanayo hii au wameona mpaka mwisho tofauti na mimi but ebu tujaribu kujadiri ili kutufungua wengune kidogo je hiki kitu ni possible au impossible...
Kama ni possible ni kwanini...??
Kama impossible ni kwanini..?
Zingatia g=9.8m/s².. π=22/7
Baba Swalehe
Mkuu kuna tofauti kati ya velocity ya jamaa na ile ya ndege...?Impact pia ni ndogo kama tunavyosema speed haikuwa kubwa kwa maana hiyo impact lazima iwe ndogo .. kumbuka momentum=mass x velocity, hivyo velocity haikuwa kubwa kulingana na kimo Cha mruko.
Angalia vizuri mkuu...Awali ulikuwa na maswali mengi, ambayo ukafanikiwa kupatiwa majibu na wataalam.
seems tukio la hapo juu likakubadilisha na kukurudisha tena kwenye kutafuta majibu na ndioo ukaamua kushirikisha wigo moana zaidi wa watu unaowaamini.
Mimi ushauri wangu ni kwamba , huna sanabu ya kuumiza kichwa kutafuta majibu ya tukio ambalo halipo, maana hilo tukio ulilofanyia reference ni la kubuni tu, halina ukweli wowote
Najua kuna watu watakua wanayo hii au wameona mpaka mwisho tofauti na mimi but ebu tujaribu kujadiri ili kutufungua wengune kidogo je hiki kitu ni possible au impossible.Awali ulikuwa na maswali mengi, ambayo ukafanikiwa kupatiwa majibu na wataalam.
seems tukio la hapo juu likakubadilisha na kukurudisha tena kwenye kutafuta majibu na ndioo ukaamua kushirikisha wigo moana zaidi wa watu unaowaamini.
Mimi ushauri wangu ni kwamba , huna sanabu ya kuumiza kichwa kutafuta majibu ya tukio ambalo halipo, maana hilo tukio ulilofanyia reference ni la kubuni tu, halina ukweli wowote
Baada ya yeye kuruka velocity imebadirika mkuu, hivyo mass ya ndege na yake pia vipo tofauti lazima impact zitofautiane.Mkuu kuna tofauti kati ya velocity ya jamaa na ile ya ndege...?
Kwa maana waliopo ndani wote wanakua wapo katika motion ujue....
Kwa kina kile watu wanaruka but wengi wanaruka wakiwa stationary tuu...
Jamaa mda anaruka jua alikua ni kama kitu kime embed kwenye ndege nika waza isije ikawa jamaa nae state yake yupo kwenye motion sawa na ndege ile speed...
Kitu gani kimefanya velocity ya jamaa kubadilika mkuu.....?Baada ya yeye kuruka velocity imebadirika mkuu, hivyo mass ya ndege na yake pia vipo tofauti lazima impact zitofautiane.
Je walikuwa kwenye uelekeo sawa? Hiyo Huwa ni tukio ya muda mfupi tu chief, kumbuka ukichenji direction lazima velocity ibadirike.Kitu gani kimefanya velocity ya jamaa kubadilika mkuu.....?
Maana hata kwenye gari unaposhuka likiwa bado linatembea kama sio mtaalamu utajikuta unaangyka..
Yaaaah ni kweli kabisa mkuu..Huwa naona mambo ya kufa na kupona hayana formula. Kuna watu wanakufa kwenye mazingira mepesi sana na kuna watu wanapona kwenye mazingira magumu mno.
Sawa sawa mkuu hapo nimeelewa...Je walikuwa kwenye uelekeo sawa? Hiyo Huwa ni tukio ya muda mfupi tu chief, kumbuka ukichenji direction lazima velocity ibadirike.
Ok mkuu. Umeeleweka.Yaaaah ni kweli kabisa mkuu..
Unajua kwenye ishu ya ndege kuna watu wengi huku mtaa mtaa wanawaza kama huyo jamaa haoo juu kuwa ndege ikiwa inaanguka yeye ataruka...
Ndo maana nikaleta mada humu ili watu watoe comment kitu hiko ni possible au laah..
Kuhusu kufa ni fumbo 😁😁🙏🙏
Hapo impact ya maji na mwili show yake inakua sio poa....Kwa distance hiyo kuna uwezekano wa kupona, haswa kama alitanguliza miguu wakati anaanguka baharini.
Hapo labda afe kwa factors nyingine.