macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Ukiangukia kwenye maji kama umetoka umbali mrefu basi impact yake ni kama umeangukia sakafu. Ndiyo maana hata speed boat ikiwa kwenye mwendo mkali na ikipinduka na kujiburuza kwenye maji, basi inavunjika au kujikunja kunja kama imegongana na jiwe. Maji yatakusaidia tu iwapo umeanguka kutoka umbali mfupi lakini mrefu ni kama umeangukia chuma.Vipi kuhusu impact iliyotokea kati yake yeye na maji....
Haiwezi kuwa factor ya yeye kukata moto mkuu..?