macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
Ukiangukia kwenye maji kama umetoka umbali mrefu basi impact yake ni kama umeangukia sakafu. Ndiyo maana hata speed boat ikiwa kwenye mwendo mkali na ikipinduka na kujiburuza kwenye maji, basi inavunjika au kujikunja kunja kama imegongana na jiwe. Maji yatakusaidia tu iwapo umeanguka kutoka umbali mfupi lakini mrefu ni kama umeangukia chuma.Vipi kuhusu impact iliyotokea kati yake yeye na maji....
Haiwezi kuwa factor ya yeye kukata moto mkuu..?
Yaaah yaaah daaah ...Ukiangukia kwenye maji kama umetoka umbali mrefu basi impact yake ni kama umeangukia sakafu. Ndiyo maana hata speed boat ikiwa kwenye mwendo mkali na ikipinduka na kujiburuza kwenye maji, basi inavunjika au kujikunja kunja kama imegongana na jiwe. Maji yatakusaidia tu iwapo umeanguka kutoka umbali mfupi lakini mrefu ni kama umeangukia chuma.
Mzee wa kupambania mbunyeMkuu watu tunapambania maisha..
Sasa wewe sijui unapambania nini
πππππ
ππππππππ Hovyo kabisa... Hapo yeye angekua ndani kajifunga mkanda na mdadaMzee wa kupambania mbunye
Kupna ndo kama hivo pilit akileta kwenye maji ila otherwise kupona ni bahati sana...Ila ajali ya ndege inatisha sana, kupona huwa ni muujiza.
Speed haikuwa kubwa, au illusion ya video?Impact pia ni ndogo kama tunavyosema speed haikuwa kubwa kwa maana hiyo impact lazima iwe ndogo .. kumbuka momentum=mass x velocity, hivyo velocity haikuwa kubwa kulingana na kimo Cha mruko.
Hapana mkuu speed ilikua kubwa na hilo tukio ni la fasta sana..Speed haikuwa kubwa, au illusion ya video?
Sina nenoππππSema kitu mkuu
Hata kwenye maji bado ni changamoto sana kupona.Kupna ndo kama hivo pilit akileta kwenye maji ila otherwise kupona ni bahati sana...
Hakuna parachute mule ππππ
Alafu ubaya wa ndege hapo ina speed yake tokea mwanzo....Speed haikuwa kubwa, au illusion ya video?
Mkui ndge ni show show yaan ubaya ubaya ππππHata kwenye maji bado ni changamoto sana kupona.
Kwahyo sabufa wewe ishu zako ni ......πππππSina neno
Man U BingwaaaKwahyo sabufa wewe ishu zako ni ......πππππ
ππππ Sheeenziiiii kabisaaaaa hapo unyakunywa supu yako saafiiiiMan U Bingwaaa
Ukisoma vizuri comment yangu utagundua nimemaanisha speed ni kubwa na aliye-comment speed ndogo ni kwa sababu ya illusion tu ya video.Hapana mkuu speed ilikua kubwa na hilo tukio ni la fasta sana..
Exactly.Alafu ubaya wa ndege hapo ina speed yake tokea mwanzo....
Alafu kuna ile acceleration ya g
Daaah respect sana mkuu....soluteUkisoma vizuri comment yangu utagundua nimemaanisha speed ni kubwa na aliye-comment speed ndogo ni kwa sababu ya illusion tu ya video.
Huyo mtu ametoka kwenye ndege na speed sawa na ya ndege. Kumbuka effect ya hiyo speed imekuwa affected na total mass ya ndege.
Kwahiyo ni kubwa.