Asee kumbe umerudi hewani. Pole kwa kuwekwa lockupWapo bwana!!! Wengine wanajitunza mpaka ndoa...
Nimekunoti mkuu hyo ndo life style yangu,@kingine vijana hawafanyi mazoezi ndo maana wanakua na mihemko mara kwa maraYeah inawezekana nina miaka 25 sasa cjaiona live wala kuigusa ya mschana na nipo sawa ,
Piga zoezi mala kwa mala
Kunywa maji mengi
Soma good news (Bible / Qur'an )
Piga manual work
Oga maji baridi
Ukipumzka cheza tournament games
Kucha chakula saaafii
Kwa nilipo fika natoboa mpaka miaka 30 ndiyo nitagusa ya mwanamke
Ova..![emoji61]1: Inawezekana
2: Hakuna madhara
Thread Closed [emoji124][emoji124]
Sii hivyoAtakuwa towashi
Ni kweli hawafanyi au ndio sisi hatujui habari zaoMapadri wamejaa dunia nzima na Tanzania wapo kila parokia
SawaNdio ina wezekana0
Tunabana matumizi4m6 katka ubora wenu ***** bora mkajile jakata tuu
SawaNdio ina wezekana kumi kwa mmoja
Sawa ila kwann ziamie nyuma??1. ndio
2.ndio, hisia zinahamia nyuma
Hongera sana mkuu nami napenda hadi nifikie umri wa 28~30Yeah inawezekana nina miaka 25 sasa cjaiona live wala kuigusa ya mschana na nipo sawa ,
Piga zoezi mala kwa mala
Kunywa maji mengi
Soma good news (Bible / Qur'an )
Piga manual work
Oga maji baridi
Ukipumzka cheza tournament games
Kucha chakula saaafii
Kwa nilipo fika natoboa mpaka miaka 30 ndiyo nitagusa ya mwanamke
Nijaribu nn??embu jaribu kwanza..!!..